zero to hero 199
Member
- Sep 8, 2021
- 56
- 79
Mtoto wa kiume yupo atarini kupotea katika dunia ya sasa.
Najiuliza tu hawa wanaoleta agenda kila siku zakumkuza mtoto wakike (tena ni wanamume) , hawaoni kama mtoto wakiume nae anatakiwa kutazamwa ili kutatuliwa changamoto zake.
so sad kuona nowdays wanaume kuact kama mwanamke kwenye mitandao yakijamii (tiktok, snapchat ,instagram)na hakuna mtu anakemea wala kumfunza mtoto wa kiume kuwa mwanamme ni nani.
Au anatakiwa kuwa vipi, zaidi nguvu zote tumezipeleka kwa watoto wakike na wanawake na kumsahau mtoto wakiume as if hayupo katika jamii kama dunia nahisi kuna shida mahali. 20 to 50 years from now tusipochukua jitihada kumuokoa mtoto wa kiume tutajuta zaidi ya hapa