Yemen watangaza Kufunga Mediterranean Sea kwa meli yeyote inayoelekea Israel

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
10,042
16,923
Hii ndo habari mpasuko kwa wale jamaa zetu wa Houth kutoka Yemen baada ya kufanikiwa kwa zaidi ya 100% kufunga bahari nyekundu (red sea) kwa meli kuelekea Israel sasa wamekuja na operation mpya. Safari hii wamesema meli zote bila kujali ni ya nchi gani ni marufuku kupita Mediterranean Sea kuingia Israel. Na kwamba meli zote hizo zitakua ni target ya makombora kutoka Yemen.

Agizo hili litatekelezwa mpaka Israeli itakaposimamisha mashambulizi huko Gaza.

======

The Houthi group based in Yemen threatened to start trying to attack ships in the eastern Mediterranean as it steps up a campaign of anti-Israeli assaults.

The Iran-backed militia has made similar threats before but, although it’s regularly hit vessels in the southern Red Sea and Gulf of Aden since November with drones and missiles, it’s shown little evidence it can do so beyond those waters.

Its attacks are ostensibly in support of Palestinians and against Israel as its war against Hamas in Gaza continues.

Source: Indian Times

Screenshot_20240506_191611_X.jpg
 
Hawana uwezo wa kufunga sema majamaa yapo bize mkuu na inshu zingine
Mkuu tuwe serious kaka.
Red sea baab almandib ni mkondo muhimu kwa mizigo ya Europe-Asia Asia-Europe.
Hujui hasara zilizopatikana baab al mandib ilipofungwa,mbaya zaidi kuna meli imezamishwa na mizigo.
Kaka unadhani hilo jambo ni dogo!?
Mpaka leo Bandari ya Israel ya Eilat haopokei mizigo.
Uwezo wanao na washauonesha.
 
Back
Top Bottom