Yanga Kumsajili Mchezaji nyota wa timu kubwa, Bango lake kuwekwa kwenye Jengo linalotazamana na Timu hiyo

Wasajili hata wote,Simba sport club intaendelea kuwepo,viongozi wasibembeleze wachezaji Kama Kuna mchezaji hataki abaki kwenye club yetu aende,Kuna wachezaji wengi Bora Sana kuliko hao,Kuna mtu alifikiria Lionel Messi ataondoka baca Yuko wapi sas hivi,kila kitu kina mwanzo na mwisho,mfano mchezaji Kama clatoas chama ana miaka 33 nadhani ana mwaka mmoja ama miwili ya kucheza utamubembeleza way nin?
 
Back
Top Bottom