Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,461
- 11,443
Taarifa za karibuni kabisa kutoka Gaza zinasema kiongozi mkuu wa Hamas,Yahya Sinwar hivi karibuni ameweza kukagua vikosi vya wapiganaji wake maeneo tofauti ya Gaza.
Alifanya hivyo kwa kujitokeza juu ya ardhi na wala sio kwenye mahandaki.
Mbali na hivyo, kiongozi huyo ambaye mara moja Israel walimuonesha akitembea chini ya handaki maeneo ya Khan Younis, pia katika siku za karibuni amezungumza na viongozi wakuu wa kisiasa wa Hamas walioko nje ya nje na kuwapa takwimu muhimu na kuweka sawa misimamo yao dhidi ya Israel.