Who is Single Mother?

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
6,201
10,174
Heshima kwenu wana jamii....

Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother?

1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza?
2. Ni mwanamke aliyezaa na hajaolewa hata kama anapata matunzo ya mwenza?
3. Ni mwanamke aliyezaa hapati matunzo na hamjui baba wa mtoto?
4. Ni mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine na hana mahusiano na baba ila ana mahusiano na mwanaume mwingine?
5. Ni mwanamke aliyeamua kuzaa tu na akaamua kuwa na mtoto wake na hamtaki baba?
N.k

Je single maza ni nani? Je jamii inachukuliaje? Na singo maza anachukuliaje mpaka ajiite single maza?

Nawasilisha.
 
Single maza ni mwanamke anayemlea mtoto peke yake
Baba anaweza kutoa matunzo, kutuma pesa lakini hayupo karibu na mtoto inaweza kupita hata mwaka hajamuona mtoto wake.

Mama mwingine amezaa na mwanaume lakini wameshaachana
Mtoto anapewa matumizi kadri ya uwezo, anamuona baba yake muda wowote
Huyu mwanamke sio Single maza.
 
Sasa unakuaje single maza na unapata matunzo?
 
Singo maza ni mwanamke aliyezaa kwasabab ya umalaya... Singo maza ni mwanamke aliyeachika kwasabab ya umalaya na kukosa akili... Singo maza ni njia ya kufanya umalaya kwa kisingizio mwanaume kakimbia mimba/mtoto... Singo maza ni aina ya udangaji mjini
 
Kheeeh mpemba hii mbona ghadhabu?
 
Heshima kwenu wana jamii....

Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother?

1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza?
2. Ni mwanamke aliyezaa na hajaolewa hata kama anapata matunzo ya mwenza?
3. Ni mwanamke aliyezaa hapati matunzo na hamjui baba wa mtoto?
4. Ni mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine na hana mahusiano na baba ila ana mahusiano na mwanaume mwingine?
5. Ni mwanamke aliyeamua kuzaa tu na akaamua kuwa na mtoto wake na hamtaki baba?
N.k

Je single maza ni nani? Je jamii inachukuliaje? Na singo maza anachukuliaje mpaka ajiite single maza?

Nawasilisha.
"Who is a single mother?!, Sio "who is thingo maza!"
 
wote hao
 
Singo maza ni mwanamke aliyezaa kwasabab ya umalaya... Singo maza ni mwanamke aliyeachika kwasabab ya umalaya na kukosa akili... Singo maza ni njia ya kufanya umalaya kwa kisingizio mwanaume kakimbia mimba/mtoto... Singo maza ni aina ya udangaji mjini
Duh! Mkuu umetisha sana. Umalaya sio sababu pekee na kuu kwa mwanamke kuzaa (vipi kama amebakwa?), kuachika (vp kama mme ni kiwembe na ameoa mwingine na kumfukuza yeye ?) au ni aina ya udangaji mjini (vp asitoke hata kuwasalimia rafiki? (vp natimizaje hitajio muhimu lile au unashauri akanunue dil....o?).
Wengine wamekuwa hivyo sio kwa kupenda wao au kutaka wenyewe bali hali imewalazimu au imewafikisha na kujikuta wako hapo.
 
Namba 5 ni sahihi zaidi. Zingine zooote wanawake huzaa wakiamini watapata chochote na mwisho huangukia pua
 
Back
Top Bottom