Wewe ndo Kibu Denis, una offer ya 30k usd per month na signing fee ya 300k usd. will you sign?

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,052
2,060
I will be short

Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela.

contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k usd to 1 m usd for kibu denis. simba wanatoa 500 million contract.

He is leaving for free. end of the season. wasteful opportunity for 1 - 2 billion from Simba.
 
Offer Gani mnataka kuwaingiza Simba kingi ili wampe mkataba mpya, hizi habari atakua ameandika kibu mwenyewe, Kuna timu Gani eti itoe over 1M USD(zaidi ya 2.5B) kumsajili kibu huyu mwenye goli Moja msimu mzima??

Eti walimpe over 75M kibu Kila mwezi kwa uchezaji upi? Kibu angekua amepata ofa kama Hio angekua ameshapanda hata ungo kukimbilia huko, inshort hakuna habari hapa
 
una hisi why kibu denis amekataa kusign. unakaza kichwa sana. ila huu ndo ukweli.

also please don't comment kama ukweli wako huna?? wewe ukweli wako upi? dumb 🚮
 
Unaleta mada unakua mkali tena? Hujazoea kupingwa au?

Wewe ndo umeleta taarifa hivyo ni jukumu lako kuleta source!!! Narudia tena, kibu hata akiondoka free agent hawezi kupata club callibre ya Simba, hata azam tu hawezi kwenda
 
sio mkali. watu wasio na akili wanaonekana mapema. i dont have time for you. tuishie hapa.
 
Yaani simba ilimuuza chama mna mikison wakiwa kwenye ubora wao ndio washindwe kuikubali ofa ya kibu. Tunajua hizi mbinu za mawakala kuelekea kipindi cha wachezaji kumaliza mikataba au mwisho wa msimu. Hebu tutolee upuuzi wako hapa
hizi sio story za jaba.
 
Offer Gani mnataka kuwaingiza Simba kingi ili wampe mkataba mpya, hizi habari atakua ameandika kibu mwenyewe, Kuna timu Gani eti itoe over 1M USD(zaidi ya 2.5B) kumsajili kibu huyu mwenye goli Moja msimu mzima??

Eti walimpe over 75M kibu Kila mwezi kwa uchezaji upi? Kibu angekua amepata ofa kama Hio angekua ameshapanda hata ungo kukimbilia huko, inshort hakuna habari hapa
Kibu usimchukulie poa sana. Ana nguvu na mbio, anakosa mbinu au akili za ufungaji. Kibu angezungukwa na wachezaji wafungaji wazuri angasababisha magoli mengi mno, maana kuufikisha mpira kwenye eneo la hatari si tatizo kwa kibu, tatizo la kibu ni akili ya ufungaji anapokuwa katika hilo eneo. Akipata kocha wa kumfundisha mbinu na akawa na akili ya kuzitumia atakuwa mshambuliaji hatari sababu ana nguvu, ana mbio.
 
Back
Top Bottom