KERO Wauza viwanja na speaker mnazoweka barabarani mnasababisha kero au Noise pollution

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Bob Maxwell

JF-Expert Member
May 16, 2021
274
505
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.

Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia sauti zinajirudia kichwani " VIWANJA VIWANJA VIWANJA"

Pia wauzaji wengine ni matapeli, ni vyema kuwa makini sana na hawa jamaa.
6.AVStore-JBL-PartyBox-110-160W-Portable-Wireless-Speaker-Back-Angled-View-With-Waterproof.jpg
 
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.

Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia sauti zinajirudia kichwani " VIWANJA VIWANJA VIWANJA"
View attachment 2982574
Bora hata wangekuwa wanatumia Speaker za JBL zenye noise cancellation.

Ni yale matakataka ya Aborder 😂😂😂
 
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.

Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia sauti zinajirudia kichwani " VIWANJA VIWANJA VIWANJA"
View attachment 2982574
Hakuna kiwanja cha bei wanayosema! Hao ni matapeli!
 
Alionyeshwa kabisa na ramani walikuwa nazo wakaenda hadi site akakiona akachagua kabisa na kukilipia, kumbe huku nyuma wakakiuza tena, alivyofuatilia wanampa majibu ya hovyo tu
Hapo umenisanua, kuna ndugu yangu yupo mbioni kununua hivyo viwanja vya matangazo, itabidi nimuelekeze awe makini asije akapigwa.
 
Back
Top Bottom