Wataalamu wa Magonjwa ya ngozi, hii ni changamoto gani?

Staphylococcus Aureus

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,744
2,650
Nimepatwa ghafla na hivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo!

kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi.

F91B5FD0-0E10-4AA9-A5D7-4FEFB6AD0BB0.jpeg
 
nenda hosp upate uhakika zaidi, japo hosp. nyingine ni kama wapiga lamli hawaelewi lolote wanabahatisha tiba zao

hapo yaweza kuwa aleji, ama umetambaliwa na mdudu au mchafuko wa damu na itaisha yenyewe
 
Back
Top Bottom