Wapinzani wamepoteza Mwelekeo? Hawana Sera?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,465
23,768
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki.

Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki.

Wakajaribu kusikilizia upepo haukwenda sawa. Wakaja na suala la Katiba mpya. Likaenda enda wakaliacha. Hawajawa na consistency katika hili jambo la msingi sana. Wameiacha hoja hii ya msingi ya Katiba Mpya.

Sasa wanadakia na kusimamia kila tamko linalosemwa na wanasisiem. Na hasa hasa matamko ya Makonda. Inashangaza. Hawana tena data mbalimbali za msingi za kuelezea ufisadi ambao unafanyika. Hawana muda wa kuelezea madhambi mbalimbali na mapungufu wanayoyaona.

Watanzania wana maisha magumu hakuna wa kuwasemea. Kwa sasa kila mtu anaimba wimbo wake. Lema amekazana na kauli ya Makonda ndo imekuwa sera yake. Hana jipya.

Lini tutapata upinzani imara wa kweli? Mwacheni Zitto yeye anakula pension. Huyo msimguse yupo ICU. safari hii hana cha kukosoa.
 
CHADEMA sio chama cha kutiliwa maanani na Mtanzania yeyote yule.

Ukiwa una viongozi muda wote ule wao wapo kutukana tu, utasikia vipi au wapi Sera zao?

CHADEMA inahitaji Mwenyekiti, damu mpya mwenye uwezo wa kuongoza viongozi wenzake wawe focus na kutafuta masuluhisho ya makali yanayowapata Wananchi. Wanahitaji kuuza sera.

Mbali ya CHADEMA, vyama vingine vya Siasa vimekuwa kama wasindikizaji wa ngoma ya mdundiko tu.
 
Maisha magumu yanasababishwa na Wapinzani au serikali yako ya ccm?
 
CHADEMA sio chama cha kutiliwa maanani na Mtanzania yeyote yule.

Ukiwa una viongozi muda wote ule wao wapo kutukana tu, utasikia vipi au wapi Sera zao?

CHADEMA inahitaji Mwenyekiti, damu mpya mwenye uwezo wa kuongoza viongozi wenzake wawe focus na kutafuta masuluhisho ya makali yanayowapata Wananchi. Wanahitaji kuuza sera.

Mbali ya CHADEMA, vyama vingine vya Siasa vimekuwa kama wasindikizaji wa ngoma ya mdundiko tu.
Labda tuwape Makonda au Sabaya ndipo Chadema itaaminika kwa wananchi.
 
Mkuu naomba tusahihishane kidogo...

Katika kuwazungumzia wapinzani naona umewataja Chadema...

Kimsingi hicho si chama cha upinzani, hao ni mdomo wa mafisadi...

Ukiona wanazungumza jambo ujue wameelekezwa waseme hivyo...

Hivyo kama unazungumzia wapinzani, tuangalie chama kingine cha kuzungumzia...

Asante.
 
Heri yenu mnaojua maana ya upinzani.Ikiwa upinzani ni kusifu yale yote yale yanayotekelezwa na Serikali basi huo upinzani ni mfu.Jambo moja ujue kuwa ccm hamjawahi kukubali mfumo wa Vyama Vingi kwa vitendo ila ni mashinikizo kutoka kwa mabeberu wanaowapa misaada hivyo mnafanya maigizo ya Demokrasia ili mpate misaada kila siku.
 
Ivi mnaosema maisha magumu n yapi yaan mbona mtaani fresh tu huku tunaishi poa sn na miaka yote tunaishi ivi ivi toka enzi za mkapa me napata akili naona n ivi ivi hayo maisha magum yapo wapi au hampendi kufanya kazi ndo mnaisingizia serikal ya mama hebu fanyen kazi kama mtaona maisha magum pumbav zenu
 
Ikiwa upinzani ni kusifu yale yote yale yanayotekelezwa na Serikali basi huo upinzani ni mfu.
Hii kauli sijaiandika kwenye hoja yangu...

Nimezungumzia chadema kukosa sifa za chama cha upinzani...

Hata hivyo hoja yako ni nzuri ila hawa wanaojiita wapinzani wamefanya nini kuondoka kwenye mtego huo wa CCM?

Tumeona viongozi wenu huanzisha jambo ili waitwe ikulu kupewa chochote, baada ya hapo maisha huendelea

Kimsingi wapinzani wa Tanzania ni rahisi kuwa compromise maana hawana dhamira ya kweli kuwasaifua wananchi na CCM inajua hilo...

Na hii ndio sababu CCM haiwachukulii serious kwenye mambo ya msingi kama Tume huru ya uchaguzi na hata katiba yenyewe.
 
Ivi mnaosema maisha magumu n yapi yaan mbona mtaani fresh tu huku tunaishi poa sn na miaka yote tunaishi ivi ivi toka enzi za mkapa me napata akili naona n ivi ivi hayo maisha magum yapo wapi au hampendi kufanya kazi ndo mnaisingizia serikal ya mama hebu fanyen kazi kama mtaona maisha magum pumbav zenu
Kipindi cha Mkapa sukari ilikua bei gani ukilinganisha na sasa?

Petrol ilikua bei gani?

Mchele na vifaa vya ujenzi?

Kwa Mkapa ulilipa tozo yoyote kwenye simu?

Vipi kuhusu tozo ya majengo kwenye umeme?

Hujaona mabadiliko yeyote mkuu?
 
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki.

Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki.

Wakajaribu kusikilizia upepo haukwenda sawa. Wakaja na suala la Katiba mpya. Likaenda enda wakaliacha. Hawajawa na consistency katika hili jambo la msingi sana. Wameiacha hoja hii ya msingi ya Katiba Mpya.

Sasa wanadakia na kusimamia kila tamko linalosemwa na wanasisiem. Na hasa hasa matamko ya Makonda. Inashangaza. Hawana tena data mbalimbali za msingi za kuelezea ufisadi ambao unafanyika. Hawana muda wa kuelezea madhambi mbalimbali na mapungufu wanayoyaona.

Watanzania wana maisha magumu hakuna wa kuwasemea. Kwa sasa kila mtu anaimba wimbo wake. Lema amekazana na kauli ya Makonda ndo imekuwa sera yake. Hana jipya.

Lini tutapata upinzani imara wa kweli? Mwacheni Zitto yeye anakula pension. Huyo msimguse yupo ICU. safari hii hana cha kukosoa.
Kwanini usiwe wewe mpinzani?
 
Ccm ina Sera gani zaidi ya UFISADI? WANANCHI MNAPIGWA PESA ZENU na Wajanja mpo tu Mausha Magumu mpaka kwa wanaccm mpo tu kweli kuwa mwanachama wa ccm kunahitaji uwe MJINGA SANA
 
CHADEMA sio chama cha kutiliwa maanani na Mtanzania yeyote yule.

Ukiwa una viongozi muda wote ule wao wapo kutukana tu, utasikia vipi au wapi Sera zao?

CHADEMA inahitaji Mwenyekiti, damu mpya mwenye uwezo wa kuongoza viongozi wenzake wawe focus na kutafuta masuluhisho ya makali yanayowapata Wananchi. Wanahitaji kuuza sera.

Mbali ya CHADEMA, vyama vingine vya Siasa vimekuwa kama wasindikizaji wa ngoma ya mdundiko tu.
Hivi CCM huwa hawana cha kuzungumza mbali na kuiongelea Chadema? Mara Chadema imekufa mara Chadema hawana sera lakini muda wote wanaiongelea Chadema
 
Back
Top Bottom