rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,552
- 42,111
Ilaa hakuna kitu kigumu kama kumvumilia mwanamke mwenye Show mbovu walahii... Yani kwa kweli yataka moyoo sana hasa ukikuta wale dak mbili ashavaa chupi na kuna wa kulala kama Gogo kama yule wa gwajiboy aisee me huwa nakata mawasiliano chap... Alafu show mbovu ila hela anapendaa
Kina dada mkiwa bed jishughulisheni jamani ooho utashangaa kila siku unaachwa na huwa hatusemi kama show mbovu utaona tu msg hazijibiwi na calls hapokei
Kina dada mkiwa bed jishughulisheni jamani ooho utashangaa kila siku unaachwa na huwa hatusemi kama show mbovu utaona tu msg hazijibiwi na calls hapokei