Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,180
36,171
1. Alisema Abraham Lincoln:

IMG_20240426_093648.jpg

2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP):

IMG_20240426_093249.jpg

3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya kina Biden, Blinken, Bibi au washirika zao. Kuliko kisiwa cha demokrasia sasa kama Kwa akina Muroto? Kweli haki ya kutoa maoni Iko majaribuni kweli kweli!

IMG_20240426_001614.jpg

4. Vijana wa aina hii hata kwetu walikuwapo sana. Ila hizo ni kwenye enzi za akina Warioba, Mwabulambo, Shivji, Garang, Museveni, Chachage, William Sarungi, Matiko Matare, Bazigiza, Mtungirehi, nk; na labda hadi kizazi cha kina Zitto mlimani pale. Hiyo si leo. Hizo zikiwa zile zama kabla usomini hapo ya kujisajili kwenye "ujalala" tena kiroho safi.

IMG_20240426_001700.jpg

5. Leo hii tuko zama ngeni zisizokuwa na kutamanika popote. Tulipo, tumesheni wa aina za akina Lucas Mwashambwa, johnthebaptist na wale wengine waliovimbiana kwa kukodolea ruzuku; wakishindana kusifu na kushukuru.

6. Kwamba vijana wasioukubali upumbafu hawa vyuoni Marekani huko; wote ni waislam, waarabu, wapalestina, HAMAS au ni wafia dini kindaki ndaki tu kama hawa wa kwetu huku?

5. Kwamba eti wote hao ni wapuuzi, isipokuwa hii timu ya akina MK254, Moisemusajiografii, Yoda, Mpaji Mungu, Mzee Kigogo au wafia dini wengine wowote tu?

Asema Simba Tandale pale: "Aaah wapi!"

6. Kwamba wote hao wamepotoka ila aina za kina JokaKuu na wenzao wenye kujiaminisha kuwa ni upuuzi kujishughulisha na wasiyokuwa na maslahi kwao; wakati wao wenyewe hawashughuliki kwa lolote?

7. Ama kwa hakika "viva sana vijana jeuri," kwa maana ukombozi bila ninyi upatikane wapi?

8. Kwamba polisi? Kwani polisi kitu gani?

9. No wonder hata katiba mpya hatutapata bali tutakirimiwa kitakachokuwapo kwa hisani ya CCM.
 
1. Alisema Abraham Lincoln:

View attachment 2974195

2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka Nyerere (RIP):

View attachment 2974197

3. Sasa kimenuka Marekani vijana jeuri hawataki kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya kina Biden, Blinken au Bibi:

View attachment 2974199

4. Vijana wa aina hii hata kwetu walikuwapo enzi za akina Warioba, Mwabulambo, Shivji, Garang, Museveni, Chachage, William Sarungi, Matiko Matare, Bazigiza, Mtungirehi, nk; na labda hadi kizazi cha kina Zitto mlimani pale; kabla ya kusajili kiroho safi kwenye "ujalala."

View attachment 2974200

5. Leo hii tuko tulipo, tumesheni wa aina za akina @lucas_mwashambwa, johnthebaptist na wale wengine waliovimbiana kwa kukodolea ruzuku; wakishindana kusifu na kushukuru.

6. Kwamba vijana wasioukubali upumbafu hawa vyuoni Marekani huko; wote ni waislam, waarabu, wapalestina, HAMAS au ni wafia dini kindaki ndaki tu kama wa kwetu huku?

5. Kwamba eti wote hao ni wapuuzi, isipokuwa hii timu ya akina MK254, Moisemusajiografii, Yoda, Mpaji Mungu, Mzee Kigogo au wafia dini wengine wowote tu?

Asema Simba Tandale pale: "Aaah wapi!"

6. Kwamba wote hao wamepotoka ila aina za kina JokaKuu na wenzao wenye kujiaminisha kuwa ni upuuzi kujishughulisha na wasiyokuwa na maslahi kwao; wakati wao wenyewe hawashughuliki kwa lolote?

7. Ama kwa hakika "viva sana vijana jeuri," kwa maana ukombozi bila ninyi upatikane wapi?

8. Kwamba polisi? Kwani polisi kitu gani?

9. No wonder hata katiba mpya hatutapata bali tutakirimiwa kitakachokuwapo kwa hisani ya CCM.
Bandiko lote hili point yako ni nini hasa?!
Kwamba Netanyahu aache kuutokomeza ugaidi. Hilo sahau
 
Na hilo litakuja kugharimu nchi za Ulaya na USA, ni vyepesi maadui wa USA kuishi USA na kufanya chochote wanachokitaka kuliko maadui wa Russia kuishi Rusia , nchi za ulaya na USA ni kokoto ushoga twende, kina aina ya uchafu ni huko kisa ni uhuru wa mtu, nchi za Kiislamu endeleeni kushikilia msingi ya maadili katika nchi zenu ambaye hataki kujiheshimu aondoke na kuacha utamaduni wenu.
 
Wakaandamanie Iran wanyongwe.Wanafurahia uhuru wa kujieleza kwa Biden.

1. Mfia dini aliyeshindwa kuandamana kudai katiba mpya anapowataka wamarekani wanaopinga sera za serikali yao; kamanda uchwara akiwa Tanzania, anapoitisha wapigwe kipigo cha mbwa Koko.

2. Bila shaka wewe kama hili bumunda jingine hapa denoo JG eti ni makamanda na mlipo mko kwenye kutafuta katiba mpya.

3. Mtaishia kugombea ruzuku mkishindana kusifu na kushukuru.

Bure kabisa!
 
Bandiko lote hili point yako ni nini hasa?!
Kwamba Netanyahu aache kuutokomeza ugaidi. Hilo sahau

1. Haipo shaka umelisoma lote na urefu wake na likakuchoma vilivyo!

2. Haipo shaka limeshehenishwa na facts tupu za hali ya Marekani na haki Hadi kwetu kutokea kwa kina Warioba Hadi Leo.

3. Watajwa mle sikuwaonea haya. Almaarufu nikichukua bumunda Moja Moja kutokea kwenye uzi huu pendwa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

4. Kwamba miye siyo mwanamuziki ulipende vipi bumunda wewe andiko kama hili?

5. Unadhani niliandika haya Kwa bahati mbaya?

6. Badilikeni uchawa una kera na ni mzigo Kwa taifa lolote Hadi Marekani huko!
 
Washughulikiwe bila huruma!

1. Kwamba kamanda mpigania katiba mpya unapendekeza wapigwe kipigo cha mbwa Koko siyo?

2. Wala wewe na makamanda uchwara wenzio wa aina za akina Moisemusajiografii, denoo JG, Mpaji Mungu nk mnaona mko vizuri.

3. Watakuwa wanalia machozi ya damu waliko Nyerere, Kinjekitile, Mkwawa, Sokoine na wazalendo wengine popote waliko; katu, ninyi hamuwezi kuwa wajukuu zao!
 
1. Mfia dini aliyeshindwa kuandamana kudai katiba mpya anapowataka wamarekani wanaopinga sera za serikali yao anapoitisha wapigwe kipigo cha mbwa Koko.

2. Bila shaka wewe kama hili bumunda jingine hapa denoo JG eti ni makamanda na mlipo mko kwenye kutafuta katiba mpya.

3. Mtaishia kugombea ruzuku mkishindana kusifu na kushukuru.

Bure kabisa!
Ulichodanganywa ni kwamba wanagombea ruzuku tu?Maandamano yanayoendelea hauyaoni?
 
1. Alisema Abraham Lincoln:

View attachment 2974195

2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP):

View attachment 2974197

3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya kina Biden, Blinken, Bibi au washirika zao. Kuliko kisiwa cha demokrasia sasa kama Kwa akina Muroto? Kweli haki ya kutoa maoni Iko majaribuni kweli kweli!

View attachment 2974199

4. Vijana wa aina hii hata kwetu walikuwapo sana. Ila hizo ni kwenye enzi za akina Warioba, Mwabulambo, Shivji, Garang, Museveni, Chachage, William Sarungi, Matiko Matare, Bazigiza, Mtungirehi, nk; na labda hadi kizazi cha kina Zitto mlimani pale. Hiyo si leo. Hizo zikiwa zile zama kabla usomini hapo ya kujisajili kwenye "ujalala" tena kiroho safi.

View attachment 2974200

5. Leo hii tuko zama ngeni zisizokuwa na kutamanika popote. Tulipo, tumesheni wa aina za akina @lucas_mwashambwa, johnthebaptist na wale wengine waliovimbiana kwa kukodolea ruzuku; wakishindana kusifu na kushukuru.

6. Kwamba vijana wasioukubali upumbafu hawa vyuoni Marekani huko; wote ni waislam, waarabu, wapalestina, HAMAS au ni wafia dini kindaki ndaki tu kama hawa wa kwetu huku?

5. Kwamba eti wote hao ni wapuuzi, isipokuwa hii timu ya akina MK254, Moisemusajiografii, Yoda, Mpaji Mungu, Mzee Kigogo au wafia dini wengine wowote tu?

Asema Simba Tandale pale: "Aaah wapi!"

6. Kwamba wote hao wamepotoka ila aina za kina JokaKuu na wenzao wenye kujiaminisha kuwa ni upuuzi kujishughulisha na wasiyokuwa na maslahi kwao; wakati wao wenyewe hawashughuliki kwa lolote?

7. Ama kwa hakika "viva sana vijana jeuri," kwa maana ukombozi bila ninyi upatikane wapi?

8. Kwamba polisi? Kwani polisi kitu gani?

9. No wonder hata katiba mpya hatutapata bali tutakirimiwa kitakachokuwapo kwa hisani ya CCM.
Leo mnawaona wa maana siyo? Ndiyo raia hao hao huandamana mitaani na kufunga barabara wakitetea haki za Mashoga, mkawa mnawatukana humu lakini leo mmeanza kuwaabudu.
 
Makonda nayeye apewe Mauwa yake anauthubutu sana mbele ya vigogo
 
Akiwa hayupo upande wako na anapigania upande wake ndiyo utamuita "ling'ombe"?Umeshiba ubwabwa wewe.🤣🤣

1. Namwita ling'ombe aliyeshiba ugali akiitisha wakipigania haki zao (wakiwamo Nyerere, Mandela, Kinjekitile, Mkwawa, Niko, Mahlangu, Ben Sanders, SWAPO, FRELIMO, nk) wapigwe vipigo vya mkoko.

2. Kwa hakika hata kumwita ling'ombe bado ni Kwa kumwonea Imani kuwa labda Leo hii hii anaweza kubadilika.

3. Kuwabagaza kina Mandela, Che, Castro, Gaddafi, na wa namna hiyo hakuwezi kuachwa kupita kama vile wazalendo tulikwisha.

3. Zingatia hata kwetu wazalendo walikwishq na kizazi cha kina Zitto, jalalani pale!
 
Akiwa hayupo upande wako na anapigania upande wake ndiyo utamuita "ling'ombe"?Umeshiba ubwabwa wewe.🤣🤣

1. Namwita ling'ombe aliyeshiba ugali akiitisha wakipigania haki zao (wakiwamo Nyerere, Mandela, Kinjekitile, Mkwawa, Niko, Mahlangu, Ben Sanders, SWAPO, FRELIMO, nk) wapigwe vipigo vya mkoko.

2. Kwa hakika hata kumwita ling'ombe bado ni Kwa kumwonea Imani kuwa labda Leo hii hii anaweza kubadilika.

3. Kuwabagaza kina Mandela, Che, Castro, Gaddafi, na wa namna hiyo hakuwezi kuachwa kupita kama vile wazalendo tulikwisha.

4. Zingatia hata kwetu wazalendo walikwishq na kizazi cha kina Zitto, jalalani pale!
 
Leo mnawaona wa maana siyo? Ndiyo raia hao hao huandamana mitaani na kufunga barabara wakitetea haki za Mashoga, mkawa mnawatukana humu lakini leo mmeanza kuwaabudu.

1. "Leo?!' Ukimaanisha nini Ndugu?

2. "Mnawaona?!" Ukimaanisha mimi na nani Ndugu?

3. Uzi huu ni wangu wa 2022 Huko:

Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

5. Hapo #4, uzi huo ukiangazia haki za wote wabagazwao wakiwamo: utumwani, makoloni, jinsia (wanawake na LGBTQ), panya road na mkuluro wote.

6. Hivi huwa mnakurupuka kutokea wapi bila takwimu wala kumbukumbu kuwasemea watu yenu?

7. Hapo #6 ni yale madhara ya watokea jalalani taslimu!

8. Ama kweli my hollow, hopeless na useless kwa jamii.

9. Hapo #8, mkisikia ling'ombe muwe mnaelewa!
 
Makonda nayeye apewe Mauwa yake anauthubutu sana mbele ya vigogo

1. Huyo ndugu ana nafuu ila kwamba Uzi huu unamhusu?

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

2. Kwamba yumo humo? Tambua nimekupa "like?" Kishingo upande.

3. Hapo #2, kumbuka yapo maswali pia kuhusu kupotea watu kadhaa likiwamo jaribio kwa maisha ya Lissu.

4. Usisahau huyo ndugu angali na bounty nono kichwani kwake tokea Kwa beberu.

5. Pamoja na yote huyo bwana si waliotakiwa na Nyerere Kwa sababu ya upeo mdogo wa uelewa!
 
Back
Top Bottom