Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,373
- 13,134
Wamarekani wana mambo kweli.
There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in Gaza
There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in Gaza
Hatari sana marekani ni mabingwa wa unafiki duniani.Unafiki wao safari hii unaonekana hadharani huu mgogoro wa israel na Palestine umewatoa thamani kabisa ulimwenguni hata kukemea tena maovu duniani km walivyokuwa wanafanya hyo nguvu tena watakuwa hawana
AiseeAmericas is a self proclaimed champion and defender of democracy and liberty, the owner of truth. All other countries are liars.
Only what USA says is the truth. The rest are lies🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wamarekan wanatofauti gan na wewe sasa. Unakubali Gaza kuna genocide Lakin kuna waarabu wako hapo Sudan wanawaangamiza waislam weusi hapo Sudan kule Darfur ila umekaa kimya.Wamarekani wana mambo kweli.
There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in GazaView attachment 2988700View attachment 2988702
Nimekaa kimya ki vipi ?Wamarekan wanatofauti gan na wewe sasa. Unakubali Gaza kuna genocide Lakin kuna waarabu wako hapo Sudan wanawaangamiza waislam weusi hapo Sudan kule Darfur ila umekaa kimya.
Wewe kwanini hujawah kuanzisha Uzi hapa kuwalalamikia waarabu wa Sudan wanavyowaangamiza weusi wa darfurNimekaa kimya ki vipi ?
Maana kilicho postiwa na unacho zungumza hakuna mahusiano.
Duuuh! Aiseeh mbona kama unanipangia nyuzi za kuanzisha humu ? Kwani wewe umezuiwa kuanzisha huo uzi ?Wewe kwanini hujawah kuanzisha Uzi hapa kuwalalamikia waarabu wa Sudan wanavyowaangamiza weusi wa darfur
Hupangiwi unaulizwa swali lenye mantiki kwani uilaum marekan kuhusu Uighur wakati na wewe unafanya the same thing.Duuuh! Aiseeh mbona kama unanipangia nyuzi za kuanzisha humu ? Kwani wewe umezuiwa kuanzisha huo uzi ?
Usipanic acha unafiki lini umeongelea mauaji ya weusi wenzako sudan leo unaumizwa na waarabu waliojitakia vita. Maifrica tuna laanaNimekaa kimya ki vipi ?
Maana kilicho postiwa na unacho zungumza hakuna mahusiano.
Atatoa povu kweli apo umemshika pabaya miafrica minafiki mno hata sudan mbali apo goma waasi wanaua watu yeye wala haumizwi anaumizwa na migaidi ya kiislam ya gaza iliyoenda kuua raia bila sababu yoyoteWewe kwanini hujawah kuanzisha Uzi hapa kuwalalamikia waarabu wa Sudan wanavyowaangamiza weusi wa darfur
Amananisha acha unafiki unaumizweje na ya mwarabu wakati ya mweusi mwenzako hayakuumizi haupangiwi unambiwa acha unafiki kama unavyowasema wamarekani wanafiki kumbe we ndo nafikiDuuuh! Aiseeh mbona kama unanipangia nyuzi za kuanzisha humu ? Kwani wewe umezuiwa kuanzisha huo uzi ?
😁😁😁Ila mmemkabia juu jamaaAmananisha acha unafiki unaumizweje na ya mwarabu wakati ya mweusi mwenzako hayakuumizi haupangiwi unambiwa acha unafiki kama unavyowasema wamarekani wanafiki kumbe we ndo nafiki
Hawa wapumbavu sana lazma tumalizane nao mapema😁😁😁Ila mmemkabia juu jamaa
Mantiki gani iliyopo kwenye swali lako na nilicho post mimi hapa ? Maana sikuelewiHupangiwi unaulizwa swali lenye mantiki kwani uilaum marekan kuhusu Uighur wakati na wewe unafanya the same thing.
Wewe vipi ya mwarabu gani yaliyo niumiza mimi hapa ? Hivi unaelewa hata kilicho postiwa au umedandia tuAmananisha acha unafiki unaumizweje na ya mwarabu wakati ya mweusi mwenzako hayakuumizi haupangiwi unambiwa acha unafiki kama unavyowasema wamarekani wanafiki kumbe we ndo nafiki