Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,924
- 221,313
Unaambiwa huko ccm kila Jini na kiti wake, Yaani kila Shetani na Mbuyu wake. Noma kweli!
Ushahidi huu hapa
Ushahidi huu hapa
😆😆😆😆 Unaambiwa kama uliingilia dirishani basi utatokea dariniccm mbele kwa mbele... tumeipenda wenyewe...
Kwenye matundu ya kutolea hewa, (air vent)😆😆😆😆 Unaambiwa kama uliingilia dirishani basi utatokea darini
Nani kamuolea mwenzie?ccm mbele kwa mbele... tumeipenda wenyewe...
Mambo yaliyotokea Kilombero na Mlimba ni mifano halisi ya Ukatili wa Magufuli, sidhani kama Jiwe aliwahi kuwa MtanzaniaWengi walibebwa na Magufuli. Yule Mama aliyegombea Jimbo la Mlimba (Morogoro) kwa tiketi ya CHADEAMAfuatilia alivyonyanyaswa. Uonevu mkubwa.
come 2025, ccm wataparura kihaswaaaaa.Unaambiwa huko ccm kila Jini na kiti wake, Yaani kila Shetani na Mbuyu wake. Noma kweli!
Ushahidi huu hapa
View attachment 2991613
Kama chama kimeshatuma watu wa kufanya tathmini..come 2025, ccm wataparura kihaswaaaaa.
uzanzibar unaomea huku bara mama ana wakati mgumu sana ingawa mi nampa kura yangu
Tafuta habari za kamati kuu buyu la asali laipasua chadema haya majungu hayatokusaidia!Unaambiwa huko ccm kila Jini na kiti wake, Yaani kila Shetani na Mbuyu wake. Noma kweli!
Ushahidi huu hapa
View attachment 2991613
Halafu Kamati kuu imefanya nchi imesimama yaani!Tafuta habari za kamati kuu buyu la asali laipasua chadema haya majungu hayatokusaidia!
Hivi yule mama Tulia nae atapotea kwenye ramani?.😆😆😆😆 Unaambiwa kama uliingilia dirishani basi utatokea darini
Mbona tayari kishapotea! Bila Zuchu hawezi kuitisha mkutano wa hadharaHivi yule mama Tulia nae atapotea kwenye ramani?.