Wadau nataka nikamate kitu Corola X, ushauri

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
521
457
Wadau, kama nilivyosema hapo juu. Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man". Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola. Sasa nimewaza, kutungua kitu show room siwezi. Kumvua mtu bei za Ist, Alex Runx kama zipo juu (Mind you hii ni kutokqna na uwezo wangu, usilete dhihaka zako).

Nataka nikamate ka usafiri humble tu, Corola X. Naombeni ushauri juu ya mambo ya hapa na pale ya kitalaamu.

Jamani changieni basi, maana mchango wenu ni wa muhimu sana kwangu mimi Mtanzania.
 
Wadau,kama nilivyisema hapo juu.Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man".Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola.Sasa nimewaza,kutungua kitu show room siwezi.Kumvua mtu bei za Ist,Alex Runx kama zipo juu (Mind you hii ni kutokqna na uwezo wangu,usilete dhihaka zako)
Nataka nikamate ka usafiri humble tu,Corola X.Naombeni ushauri juu ya mambo ya hapa na pale ya kitalaamu.
Jamani changieni basi,maana mchango wenu ni wa muhimu sana kwangu mimi Mtanzania.
Ninayo hii gari ipo poa kwa misele mjini.
 
unatuchanganya babu
mark x ndo hiyohiyo corolax au?
 
Corrolla roho ya paka.

Jamii nyingine ya Corrola ni spacio Old Model, Raum Old Model, Carina TI, Camry, Corona, Sprinter, na Ruminion.

Gari roho ya paka hizi!
 
Corolla X ndio ikoje? Weka picha
Ni gari moja poa tu dash board yake kidogo ingefanana na premio na alex, 1500, ni maarufu kama corola police
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    17.6 KB · Views: 6
  • images.jpeg
    images.jpeg
    36.7 KB · Views: 8
Back
Top Bottom