Wachaga: Nini maana ya neno hili

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
9,284
13,110
Nina mpenzi wangu hatuko kwenye maelewano mazuri kwa sasa ila Leo kanitumia neno hili ™Hanginywe™.

Nataka nijue maana yake nini ili kama ni tusi nijue.
 
hilo neno si la kichaga

Kwa vile umesema ww sasa naamini kwel si kichaga, sasa kitakuwa kilugha gan? Emu nieleze Kiteto kuna kabila gan kule nibadirishe heading maana yy kwa sasa Kiteto ndo kituo chake cha kazi.
 
Nina mpenz wangu hatuko kwenye maelewano Mazuri kwa sasa ila Leo kanitumia neno hili ™HANGINYWE™ nataka nijue maana yake nn ili kama ni tusi nimtafte nimshughulikie.

Sio kichagga labda watokee wanao elewa hii lugha wakusaidie
 
Nimeishi na wazigua kwa miaka mingi na hilo neno wanalitumia kwenye salam. mfano nawasalimia Msinda vihi, JIBU hakijambo hanginywe.
 
Nimeishi na wazigua kwa miaka mingi na hilo neno wanalitumia kwenye salam. mfano nawasalimia Msinda vihi, JIBU hakijambo hanginywe.

Shukrani mkuu maana nilikuwa nishaanza kupanic.... Si unawajua hawa dada zetu bwana.
 
Kwa hiyo demu sasa kampata Mzigua kamkoleza mpaka mtoto anahamu ya kwenda uziguani akasalimu kwa hiyo inabidi apate crush course ya kizigua , hiyo meseji imekuja kwako kimakosa inaonyesha alikuwa anamjibu jamaa.

Hivi unajua Marco Poloanapresure
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom