Vyama mamluki matawi ya CCM

Umeisahau Chadema, Mbowe alikamatwa enzi ya jiwe tu tangu vyama vingi vianze, na baadae SSH, Mtei hajawahi kukamatwa na Polisi, jiulize kwa nini. Baada ya kufunua veil kwa boss, Mbowe akaachiwa, na akafikia Ikulu. Lissu naye ni project

Hata mabosi hawawajuagi watu wanaokaa chini ya kava la kitabu, boss anakuwa anaona mapicha picha tu. Na wanaomuonyesha mapichapicha ni vijana wake, na yeye baadhi hawajui. Hata mzee mwinyi alionyeshwa mapicha picha na mrema na marando,mpaka mrema akaamua kujisema mwenyewe kazi yake, wakati ambao hana madhara.

Imagine,kwa muda wote kaandamanisha wangapi na wangapi wamekula risasi na rungu zenye uzito wa uzani wa juu.

Si unajua jamaa wana njia nyingi za kufikisha ujumbe, hata juzi Lissu alivyojitapa kuwajua wachungaji wanaoagiza sukari, ni wale wale wa kijitonyama wanamtumia kijna wao Lissu kutoa maneno. Yaani Lissu ni spika tu ya kutolea sauti
 
Back
Top Bottom