dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,762
- 16,522
Jana nilikwanda kuhuhisha taarifa zangu za kibenki ndipo nikakutana na kadhia hyo kuwa vitambulisho vingi vimekosewa
Kuanzia majina
Maahali uliko zaliwa
Wilaya uliko zaliwa
Kijij uliko zaliwa
Kata
Shule ya msingi niliyo Soma nk...
Majina pia ya mam mzazi yote yalikosewa na Hili nilibaini baada ya kuulizwa maswali hayo na afsa wabank ya crdb chamwino branch
Kila alicho niuliza hakikuwa sahih ,ndipo aliponielekeza kuwa niende ofisi za nida kwenda kuchukuwa majibu sahih kutokana na alicho niandikia
Nilifika pale nikakutana na foleni kubwa snaa nao kumbe wanatatizo kama langu
Baadae nikapewa majibu yangu
Ambapo niliandikiwa majibu ya ajabu sna kuanzia wilaya niliozaliwa na shule nilizo Soma hakna ajabu hkna hata moja wamepatia
Wakt nakumbuka kipindi najazza maelezo ya fomu nilijaza kwa usahih mkubwa leo nakuja kuambiwa mm nimesoma leguruki na nimeszaliwa longido wakt nimezaliwa Arusha dc
Majibu ya ajabu sna na mbaya Zaid ukitaka urekebishe taarifa inakupaza kulipia elf 20 warekebishe
Nida Ni utapeli mkubwaa sna na nitawapeleka mahakamani Hili silinyamazii wakili wangu Peter medeleka atafanya Kaz hyo