Vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinamaliza nguvu kazi za Taifa

Serikali mko wapi? TBS na TFDA mko wapi?

Kwanza kabisa naomba kusepa kwamba sisi Tanzania tumekua watu wa ajabu sana,kuanzia watu waliosoma na wasiosoma, wenye dhamana yakulinda afya zetu ndiyo wamekua watu wa ajabu zaidi kabisa!

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja! Hapo zamani tulikua na kinywaji cha energy kijulikanacho kwa jina la Red bull tu! Na hiki kinywaji kilikua kama kinywaji cha watu wenye kipato cha juu, maana bei ya Red bull ni bora ukapiga zako bia aina ya Serengeti 2 au Castle lite 2 kwa Mangi kwa bei ya Tshs 1,500/= tu! Na bado unabaki cha bakaa ya kununua chupa moja ya maji badi, na unabaki na nauli ya daladala kuweza kukurudisha nyumbani!

Sasa hivi kuna hizi energies zimejaa mtaani nyingine hata hazieleweki zinatoka wapi!

1. Azam Energy
2. MO Extra
3. Jembe Energy
4. Kung Fuu
5. MO Fire

Na nyingine nyingi ambazo tunaziona tu huko mtaani zinauzwa.

Pia hapo zamani tulikua na hizi Pombe kali yaani spirit chache sana kama nitakua sahihi kulikua na Konyagi tu, baadae ikaje hizi K Vant, Vodka, Vladimir na Zed na nyingine nyingi! Lakini sasa hivi kuna hizi spirit nyingi mno, yaani hadi majina mengine huwezi hata kuyajua!

Naomba twende kwenye matatizo ya hizi pombe kali na hizi spirit sasa!

Tuanze na Spirit

Vijana wengi sana wanakunywa hivi vinywaji kuanzaia asubuhi na mapema kabisa, kijana anaanza kulewa Asubuhi na mapema je ataanda kujenga taifa lake saa ngapi?? Atapata muda wakuzalisha nakuweza kupata pesa kwa ajiri ya mahitaji yake saa ngapi?? Hapa kuna shida ,matokeo yake vijana wanaanza kua panya boi tu huko mtaani

Kwenye hizi energies hapa napo kuna shida sana, vijana asubuhi na mapema wanapiga hizi energies na wanaingia kuendesha vyombo vya moto hasa boda boda na magari ya abiria hivi kweli wataendesha kwa umakini??

1. Madhara ya energies
a) Mapigo ya moyo kwenda mbio
b) Kukosa usingizi kwa muda

Madhara ya Spirit

Vijana kulewa mapema nakuacha kufanya kazi za ujenzi wa taifa letu la Tanzania

Nini kifanyike

Tuweke bei kubwa kwenye hivi vinjwaji,ili vijana washindwe ku afford kununua! Mfano wangapi wanatumia Red bull au Windhoek?? Hii itasaidia kuliponya taifa!

Mfano boda boda achanganye Energies na Gin? Si ataendesha boda bila kufata sheria na matokeo yake anapata ajali nakufa au kua na kilema cha kudumu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Unabwata tu badala ya kusema Energy zina caffeine ya kiwango kikubwa hivyo hazifai wewe unabwatuka tu na kuwaingilia wanyaji wa K veve.

Sasa iko hivi, kwenye sigara kuna nicotine ni Sumu.

Kwenye mafuta ya kupikia kama ya Korie Kwa mfano Yana Cholesterol nayo ni hatari haifai.

Juice zote za viwandani hazifai.

Soda zote hazifai.

Kwahiyo mambo ni mengi muda ndio mchache, ishi maisha yako.
 
Hakuna mtu aliyekupangia maisha hata kidogo! Fanya utafiti, madereva wa mabasi wengi wanatumia energies mixer na hizi gins! Wakichanganya ajali hii hapa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sasa hoja yako energy drinks au Gin mbona hata uwelewi unaandikanujinga nini unafosi kuweka energy drinks pasipo stahiri
 
Kweli kamanda! Lakini ulishaona hizi energies zetu zinauzwa kwa wenzetu huko duniani?? Yaani MO Extra iwe pale kwenye masoko ya London au New York???

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hilo sasa ni suala la branding na marketing procedures ya company husika kwanini zisiweze kuuza New York?!,

Ukiangalia kwenye hizo chupa za vinywaji kuna neno limeandikwa ISO(International Organization for Standardization) kama ukiona kuna neno hilo basi ujue bidhas husika imequalify kuuzwa kimataifa kwahiyo kama mo energy inayo basi hakuna limitation kuuzwa marekani japokuwa haitakuwa rahisi kwa marekani kuruhusu bidhaa zake zipate competition kutoka nje
 
Serikali mko wapi? TBS na TFDA mko wapi?

Kwanza kabisa naomba kusepa kwamba sisi Tanzania tumekua watu wa ajabu sana,kuanzia watu waliosoma na wasiosoma, wenye dhamana yakulinda afya zetu ndiyo wamekua watu wa ajabu zaidi kabisa!

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja! Hapo zamani tulikua na kinywaji cha energy kijulikanacho kwa jina la Red bull tu! Na hiki kinywaji kilikua kama kinywaji cha watu wenye kipato cha juu, maana bei ya Red bull ni bora ukapiga zako bia aina ya Serengeti 2 au Castle lite 2 kwa Mangi kwa bei ya Tshs 1,500/= tu! Na bado unabaki cha bakaa ya kununua chupa moja ya maji badi, na unabaki na nauli ya daladala kuweza kukurudisha nyumbani!

Sasa hivi kuna hizi energies zimejaa mtaani nyingine hata hazieleweki zinatoka wapi!

1. Azam Energy
2. MO Extra
3. Jembe Energy
4. Kung Fuu
5. MO Fire

Na nyingine nyingi ambazo tunaziona tu huko mtaani zinauzwa.

Pia hapo zamani tulikua na hizi Pombe kali yaani spirit chache sana kama nitakua sahihi kulikua na Konyagi tu, baadae ikaje hizi K Vant, Vodka, Vladimir na Zed na nyingine nyingi! Lakini sasa hivi kuna hizi spirit nyingi mno, yaani hadi majina mengine huwezi hata kuyajua!

Naomba twende kwenye matatizo ya hizi pombe kali na hizi spirit sasa!

Tuanze na Spirit

Vijana wengi sana wanakunywa hivi vinywaji kuanzaia asubuhi na mapema kabisa, kijana anaanza kulewa Asubuhi na mapema je ataanda kujenga taifa lake saa ngapi?? Atapata muda wakuzalisha nakuweza kupata pesa kwa ajiri ya mahitaji yake saa ngapi?? Hapa kuna shida ,matokeo yake vijana wanaanza kua panya boi tu huko mtaani

Kwenye hizi energies hapa napo kuna shida sana, vijana asubuhi na mapema wanapiga hizi energies na wanaingia kuendesha vyombo vya moto hasa boda boda na magari ya abiria hivi kweli wataendesha kwa umakini??

1. Madhara ya energies
a) Mapigo ya moyo kwenda mbio
b) Kukosa usingizi kwa muda

Madhara ya Spirit

Vijana kulewa mapema nakuacha kufanya kazi za ujenzi wa taifa letu la Tanzania

Nini kifanyike

Tuweke bei kubwa kwenye hivi vinjwaji,ili vijana washindwe ku afford kununua! Mfano wangapi wanatumia Red bull au Windhoek?? Hii itasaidia kuliponya taifa!

Mfano boda boda achanganye Energies na Gin? Si ataendesha boda bila kufata sheria na matokeo yake anapata ajali nakufa au kua na kilema cha kudumu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sababu kubwa inatokana na WATU kuabudu sana PESA.

Mpaka serikali Ina NJAA sana na PESA, kwahiyo JUKUMU la AFYA yako linabaki kuwa MIKONONI mwako.

Sasa hivi, MATAJIRI wamewekeza sana kwenye VITU ambavyo ni ADDICTIVE kama POMBE, BETTING, SIGARA, SHISHA, na ENERGY DRINKS.

Wanajua ni TATIZO lakini kulingana na KODI wanayochuma hawawezi kusema CHOCHOTE.

Na hii TAMAA ya Pesa ndio inapelekea na MEDIA ( Radios, Mitandao ya simu, TVs na Papers) kuendesha KAMARI za KITAPELI bila wasiwasi.
 
Hilo sasa ni suala la branding na marketing procedures ya company husika kwanini zisiweze kuuza New York?!,

Ukiangalia kwenye hizo chupa za vinywaji kuna neno limeandikwa ISO(International Organization for Standardization) kama ukiona kuna neno hilo basi ujue bidhas husika imequalify kuuzwa kimataifa kwahiyo kama mo energy inayo basi hakuna limitation kuuzwa marekani japokuwa haitakuwa rahisi kwa marekani kuruhusu bidhaa zake zipate competition kutoka nje
Reddbull ndio energy yenye viwango vya kupata soko worldwide, hawa kina Mwamedi na Bakhressa target yao ni Kwa Bodaboda na watu wa kawaida tu ndio maana bei ya Red bull ni 3500 mpaka 4000 wakati hao kina Mwamedi energy za ni jero jero tu tena ujazo sawa.
 
Yeah ndio maana nimemwambia jamaa hapo juu kwamba km bidhaa haina ISO basi itaishia kuuzwa kwa bodaboda tu hapa Mitaani...Nadhani marketing procedure yao wamelenga hukohuko kwa bodaboda...
 
Unajichanganya sana! Umesema ukiangalia kwenye hizo chupa kuna neno ISO, sasa hivi tena market target yao ni boda boda tu!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Unajichanganya sana! Umesema ukiangalia kwenye hizo chupa kuna neno ISO, sasa hivi tena market target yao ni boda boda tu!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mimi nimesema hivi "Ukiangalia kwenye hizo chupa za vinywaji" sijasema Mo ni chupa za vinywaji kwa ujumla ,na nikaongezea kwa kusema "kama mo energy inayo" means sina uhakika kama inayo au haina kama inayo basi pia wametargert soko la nje kama haina basi wametarget soko la ndani tu.. mbn inaeleweka?
 
View attachment 2513371

Serikali mko wapi? TBS na TFDA mko wapi?

Kwanza kabisa naomba kusepa kwamba sisi Tanzania tumekua watu wa ajabu sana, kuanzia watu waliosoma na wasiosoma, wenye dhamana yakulinda afya zetu ndiyo wamekua watu wa ajabu zaidi kabisa!

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja,

Hapo zamani tulikuwa na kinywaji cha kuongeza nguvu kijulikanacho kwa jina la Red Bull tu na hiki kinywaji kilikua kama kinywaji cha watu wenye kipato cha juu, maana bei ya Red Bull ni bora ukapiga zako bia aina ya Serengeti 2 au Castle lite 2 kwa Mangi kwa bei ya Tshs 1,500/= tu, na bado unabaki cha bakaa ya kununua chupa moja ya maji badi, na unabaki na nauli ya daladala kuweza kukurudisha nyumbani.

Sasa hivi kuna hivi vinywaji vya kuongeza nguvu vimejaa mtaani nyingine hata hazieleweki zinatoka wapi;

1. Azam Energy
2. MO Extra
3. Jembe Energy
4. Kung Fuu
5. MO Fire

Na nyingine nyingi ambazo tunaziona tu huko mtaani zinauzwa.

Pia hapo zamani tulikua na hizi pombe kali (yaani spirits) chache sana kama nitakua sahihi kulikua na Konyagi tu, baadae zikaje hizi K Vant, Vodka, Vladimir na Zed na nyingine nyingi, lakini sasa hivi kuna spirits nyingi mno, yaani hadi majina mengine huwezi hata kuyajua! Naomba twende kwenye matatizo ya hizi pombe kali na hizi spirit sasa.

View attachment 2513378

Tuanze na Spirit

Vijana wengi sana wanakunywa hivi vinywaji kuanzaia asubuhi na mapema kabisa, kijana anaanza kulewa asubuhi na mapema je, ataanda kujenga taifa lake saa ngapi? Atapata muda wakuzalisha nakuweza kupata pesa kwa ajiri ya mahitaji yake saa ngapi? Hapa kuna shida, matokeo yake vijana wanaanza kuwa panya boi tu huko mtaani.

Madhara ya Spirit
  • Vijana kulewa mapema nakuacha kufanya kazi za ujenzi wa taifa letu la Tanzania.

Kwenye hizi energy drinks hapa napo kuna shida sana, vijana asubuhi na mapema wanapiga vinywaji vya kuongeza nguvu na wanaingia kuendesha vyombo vya moto hasa boda boda na magari ya abiria, hivi kweli wataendesha kwa umakini?

Madhara ya energy drinks;
  • Mapigo ya moyo kwenda mbio.
  • Kukosa usingizi kwa muda.

Nini kifanyike?

Tuweke bei kubwa kwenye hivi vinjwaji ili vijana washindwe kumudu kununua. Mfano wangapi wanatumia Red Bull au Windhoek, hii itasaidia kuliponya taifa.

Mfano boda boda achanganye energy drink na gin, si ataendesha boda bila kufata sheria na matokeo yake anapata ajali nakufa au kuwa na kilema cha kudumu?!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
nashauri watanzania 2enze kunywa MNAZI kwa afya,kwanza unatibu kisukari,pili hauna kemikali,tatu ni genuine from sir GOD!!!........mwisho ni kiboko kwa wa2 wanaosumbuliwa na acid nyingi na nyongo 2mboni"wahindi wanakunywa sana mnazi sababu wanajua faida yake"pale DDC kariakoo unauziwa chupa moja 2000,lakini mitaa ya kwetu kuanzia gos,pugu mpaka mvuti unapata kwa jero tu!!!
 
Back
Top Bottom