Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

Sleeping with many partners changes the brain circuitry, compromising the ability to bond with someone else!!

This is for both sexes!

A virgin woman deserves a virgin man who is still capable of forming a great bond with her and not have a man who just sees her as a trophy while hes out to quench his insatiable desires at the expense of his inexperienced wife!!
Its easy to identify a virgin girl, ila kwa mwanaume 🤔🤔🤔
 
''Ila hawa jamaa wa Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli'' wakihamia kwenye social medias zingine na mtaani wataharibu mindset ya vijana wengi ambao bado hawajaoa.

Mtu unaweza kuona Ndoa ni tatizo kwako lakini kwa wenzio ni Faraja kuu.
"Tunakuja huko mitaan Bado tuna print T-shirts na Mabango.
Subiri zikamilike"
Aliskika mwenyekiti wetu dronedrake 🤔
 
ukiona mtu kadumu naye ujue ni mtu kajitoa mganga, a self sacrificing love,
she/he atapata vipindi vifupi sana vya furahia na huyo mtu but mostly itakuwa ni mateso ya kisaikolojia, kihisia na hata kimwili
Na huu ndio ukweli. Watu ambao wamekutana na shuruba ya kutosha, ili waweze kudumu kwenye mahusiano na kuwa na furaha, wanahitaji mtu ambae hana jeraha, mwenye kuweza kuvumilia sana. Kinyume na hapo, ndio watakuja na hizi kampeni
 
Mfano mzuri ni huyu muasisi wa hiyo movement

Wametawaliwa sana na huzuni. Wao wanaamini hawahitaji ndoa, maana ni utapeli, ila kiuhalisia wanahitaji upendo na faraja, maana ni vitu walivyokosa
 
Nimecopy mahali

"When an individual chooses to engage in casual sex, breaking bond after bond with each new sexual partner, the brain forms a new synaptic map of one-night–stands. This pattern becomes the “new normal” for the individual. When and if the individual later desires to find a more permanent partner, the brain mapping will have to be overcome, making a permanent bond more difficult to achieve."
 
Back
Top Bottom