Uzi wa vyakula tu

20240515_051544.jpg




Hii ilikuwa magimbi, kachumbari na kuku wa kuoka (mnofu).
 
20240515_213655.jpg


Pichq linaanzia hapa....

20240515_221955.jpg


Samaki salmon wa kukaanga na mambongamboga yaliyokaangwa..πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹


20240516_215622.jpg


Mambogamboga kikaangoni....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

20240516_215626.jpg


Hapo magimbi, bamia na zucchini zinachemka...πŸ˜‹πŸ˜‹

20240516_215636.jpg


Hizi vitu ni udhaifu wangu aseeh.... Bujibuji Simba Nyamaume ila napenda niziandae mwenyewe nyumbani.... kwa binafsi hii kitu hata kitimoto inasubiri...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Tuendelee....
 
20240516_215856.jpg


Mambogamboga kama kawaida yanashabihiana na kikaango...πŸ˜‹πŸ˜‹

20240516_221422.jpg


Grqted carrots ziliwekwa mwishoni kidhungu sijui ndo wanaitq ganish...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hata sijui inamaanisha nini ila ndo mbwembwe za mapishi...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

20240516_221557.jpg


Sahani imesheheni tayari kwa uchakataji na kumeng'enywa...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

20240516_223853.jpg


Prons walibakia kwenye sahani ikabidi niongeze mambogamboga ili nimalizie prons....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

20240517_021641.jpg

Hapa magimbi ya kuchemsha, meatball na roasted ground beef, it was yummy πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Tumalizie .......

20240517_215424.jpg


Bamia likikaangwa na vitunguu maji tangawizi imesagwa na manjano mbichi imesagwa...πŸ˜‹πŸ˜‹ for the taste of food...

20240517_215755.jpg


Hoho na rangi zake nazo zikaingia kikaangoni....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

20240517_220700.jpg


Kama kawaida ganish ya grated carrots... πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ Acha kabisa.
20240517_220836.jpg


Karibuni, vyote vimeandaliwa πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom