KWELI Uume huacha kukua mwanaume anapofikisha umri wa miaka 20

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Hivi ni kweli kuwa ukomo wa kurefuka na kunenepa kwa uume ni miaka 20?

Yaani mtu mwanaume mwenye umri wa miaka 25 au 30, kamwe hawezi ku experience ongezeko la ukubwa wa uume wake?

1617737231_charles-deluvio-kCpGrE0G8NE-unsplash.jpg

Kwa maana nyingine, ukubwa wa uume wa mwanaume akiwa na miaka 20, ndio atakaokuwa nao akifikisha miaka 35?
 
Tunachokijua
Uume ni kiungo kinachofanya kazi kuu mbili, kutoa takamwili za mkojo pamoja na kushiriki tendo la ndoa. Muundo wake wa anatomia huruhusu kufanyika kwa kazi zote hizi mbili pasipo kuingiliana.

Kwa mujibu wa taasisi ya Weill Cornell Medicine, urefu wa uume hutofautiana miongoni mwa wanaume kulingana na asili yao. Vipimo vya kawaida huwa kama ifuatavyo;
  1. Urefu wa kawaida wa uume usiosimama ni wastani nchi 3.4-3.7 (8.6-9.3 cm)
  2. Urefu wa kawaida wa uume uliosimama ni wastani wa nchi 5.1-5.7 (12.9-14.5cm)
Mwanzo na mwisho wa ukuaji wa Sehemu za Siri
Ukuaji wa kasi wa uume hutokea wakati wa kubalehe kwenye wastani wa umri wa miaka 12 au mapema zaidi. Ukuaji huu huendelea hadi kufikia umri wa miaka ya mapema ya 20 ya mwanaume.

Kubalehe kwa kawaida huanza kati ya umri wa miaka 9 na 14 na hudumu hadi miaka mitano au zaidi, kulingana na umri ambao huanza. Katika umri huu, mambo yafuatayo hutokea kwa wavulana:
  1. Kuongezeka kwa ukubwa wa korodani
  2. Kuongezeka kwa ukubwa (urefu) wa uume
  3. Kuota nywele nywele sehemu za siri na kwapani
  4. Kumwaga shahawa
  5. Sauti kuwa nzito
Utafiti wa mwaka 2011 wenye kichwa cha habari “Growth and Development of Male External Genitalia” wa Analia Tomova et al, uliohusisha wanaume 6200 wenye umri kati ya miaka 0-19 ulibaini kuwa uume hukua kwa wastani wa nusu nchi kila mwaka kwenye umri wa miaka 11-15, kisha ukuaji huendelea kupungua kadri umri unavyozidi kuongezeka.

Aidha, baada ya kuzungumza pia na wataalam wa afya ya binadamu, JamiiForums imebaini kwamba ukuaji wa uume husimama baada ya kumaliza umri wa balehe, ambao hutofautiana miongoni mwa vijana.

Kwa mujibu wa tafiti, balehe ya vijana wengi hukoma wakiwa na miaka 16 na wengine huendelea hadi wafikiapo umri wa miaka 20.

Mbinu mbadala za kukuza uume
Kumekuwepo na matangazo ya bidhaa nyingi zinazodai kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa (urefu) wa uume. Aidha, baadhi ya mazoezi hudaiwa pia kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa wa sehemu hizo.

Kwa mujibu wa Urology Care Foundation, mbinu hizi hazina ufanisi mkubwa. Hata hivyo, matumizi ya vifaa maalum yametajwa na baadhi ya tafiti kuwa na uwezo wa kuongeza urefu kwa kiasi fulani na sio unene.
Naam, ndo msingi wa hoja yangu

Wanawake wakilalamika kutokana na marambo yao inajengeka vichwani mwa wanaume kuwa wana vibamia, na mtu akizamisha akaona brake p.u.m.b.u anahaha na kuanza kutafuta madawa ili apate size ya kulijaza lile tundu ambalo hutanuka!

Unaweza kuwa na inchi 7 na bado ukakutana na rambo la kukufanya uonekane kibamia.

Japo ni kweli vibamia vipo, lakini si kwa kiasi hicho



Sent using Jamii Forums mobile app

mimi nahisi wanawake wasasa wamekumbwa na matatizo ya kili ya kupenda uume mkubwa kupitiliza, binafsi naamini ni ugonjwa.
 
mimi nahisi wanawake wasasa wamekumbwa na matatizo ya kili ya kupenda uume mkubwa kupitiliza, binafsi naamini ni ugonjwa.
Si ugonjwa hata, ni umalaya tu unaowasumbua. Kwa asilimia kubwa (kama si zote 100) wanawake wanaochambua size na kutaka kubwa ni wale ambao wameshapitiwa na njemba kibao. Ni ngumu kumkuta mwanadada mwenye kidume chake kimoja kilichomtoa bikra akilalamikia size kwani hata size zenyewe hazijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ugonjwa hata, ni umalaya tu unaowasumbua. Kwa asilimia kubwa (kama si zote 100) wanawake wanaochambua size na kutaka kubwa ni wale ambao wameshapitiwa na njemba kibao. Ni ngumu kumkuta mwanadada mwenye kidume chake kimoja kilichomtoa bikra akilalamikia size kwani hata size zenyewe hazijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mkuu wapa mjini tunapoishi kuna wengine zaidi ya hao
 
hawa wanataka kunambia mb.oo yangu ndo ilikuwa ivoivo toka nikiwa 20yrs! no way!
ningemmudu vp huyu mama chanja?
isijekuwa mb.oo za wazungu ndo hazikui hlf wanatuchanganya umo wote?
waafrika tuna pepo yetu bn
 
mimi nahisi wanawake wasasa wamekumbwa na matatizo ya kili ya kupenda uume mkubwa kupitiliza, binafsi naamini ni ugonjwa.
"Wafu wanakokotana, Jahazi na Tanga" , alisikika mlevi mmoja akiwapayukia vijana wawili waliokuwa wanatiana moyo akiwa anatembea huku anayumbayumba
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom