love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,532
- 2,902
Nashukuru kwa kuwa honest..Mkuu huu ni uzi wangu na siwezi kuutelekeza hata kwanini.
Kwanza kabisa tambua dhana ya jukwaa hili JF ni kwamba tunapashana habari na masuala pia ni kwamba mimi ninapoleta mada hapa haimaanishi naelewa kuliko waote humu bali naleta wengine wasome kisha watoe michango yao ikiwemo kukosoa na kurekebisha pale kwenye makosa. Ndio maana kuna sehemu ya kukoment.
Sasa mkuu hapa hatupo kumtafuta nani anajua zaidi ya mwingine na nani hajui!
Hivyo Basi kama unaona mada Yangu kuna sehemu inamakosa basi onyesha wapi kuna kosa kisha sahihisha kwa kuweka jibu sahihi as INTELLECTUAL na sio kunirushia mawe kwamba nimekosea hapa ila huweki kike unachofahamu✌️