Staphylococcus Aureus
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 1,744
- 2,652
Wakuu naomba kufahamu kuhusu suala hili tafadhari.
ndo cheti kinapatikana auWeka pesa mfuko wa shati
kwan kila mtu huwa anafunga ndoa mkuu??anakuwaje mke bila cheti cha ndoa
Wewe huna ndoaNgoja tusubiri mrejesho wa wadau
ok sawa kwa uelewa wako mke nankwan kila mtu huwa anafunga ndoa mkuu??
Mke ni mwanamke unaeishi nae baada ya kutambulika na kumalizana na wazazi wake huyo anakua mkeโฆok sawa kwa uelewa wako mke nan
Sasa ww ndo umeongea!!Kalipie 50 upate cheti cha ndoa. Usisubiri Uhamisho ili uanze kuhangahika
anakuwaje mke bila cheti cha ndoa
we coco beach jitulize๐๐๐๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐๐
bas sawa isiwe shida utaelekezwa ivoivo kwa uelewa wako..........waambie wazazi wake wakupe cheti cha ndoa kama hawawakukupaMke ni mwanamke unaeishi nae baada ya kutambulika na kumalizana na wazazi wake huyo anakua mkeโฆ
Yes. Ukipata Uhamisho ndipo unaanza kuhangahikia kitu ambacho ungekifanya kwa uhuru siku za nyuma.Sasa ww ndo umeongea!!
Kunywa pepsi big๐๐
uhamisho huwa unahitaj chet cha ndoaYes. Ukipata Uhamisho ndipo unaanza kuhangahikia kitu ambacho ungekifanya kwa uhuru siku za nyuma.
๐๐๐bas sawa isiwe shida utaelekezwa ivoivo kwa uelewa wako..........waambie wazazi wake wakupe cheti cha ndoa kama hawawakukupa
Mkatie tu bila hata ya kusema ni mkeo.Wakuu naomba kufahamu kuhusu suala hili tafadhari.