DOKEZO Ulaghai kwenye upimaji na urasmishaji wa maeneo - Wilaya ya Kinondoni, Kata ya Mabwepande, Mtaa wa Kinondo Mashariki

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Urasmishaji wa viwanja , mabwepande,eneo la kinondo Mashariki unahusisha mazingira ya utapeli yaliyotengenezwa na viongozi wa wilaya kushirikishana na viongozi wa chini Yao.

1. Zoezi la upimaji wameandaa watu wao wa kusimamia bila ridhaa kamili ya wananchi

2. Viwango wanavyo vitangaza vya upimaji haviakisi makubaliano ya gharama na Wananchi

3. Njia za malipo zina walakini ( Inatajwa selikali kusimamia zoezi hilo lakini mpokea MALIPO sio selikali.

4. Mfuatiliaji mkuu wa zoezi ni Chama tawala na si Selikali (Kwa muktadha ya mtoa elim, mfuatiliaji wa karibu wa Shughuli,n.k)

5.Vinatengenezwa viwanja hewani Kwa njia Haram .

6. Malipo yanahimizwa kufanya kabla ya kuwekewa mawe ya upimaji (kabla walitapeliwa watu ,walitoa pesa bila mawe kuwekewa na hawaja wekewa huku zoezi likija Kwa upwa huku)
 
Back
Top Bottom