TIE Maboresho ya mtaala wa Elimu. Hivi kuna haja ya kuendelea kufundisha kuandika barua ya kirafiki mashuleni?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
602
1,264
Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia?

Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma sms.

Leo hii wadau wewe ulimwandikia lini ndugu au rafiki barua ya kirafiki?
 
Bongo nyoso , mfano pluto huko NASA walishasema sio sayari toka 2006 au 2008 kama sikosei ila vitabu vyote vya bongo mpaka miaka 8 mbele vinaimba sayari 9.
 
Bongo nyoso , mfano pluto huko NASA walishasema sio sayari toka 2006 au 2008 kama sikosei ila vitabu vyote vya bongo mpaka miaka 8 mbele vinaimba sayari 9.TAFITI KABLA HUJAANDIKA.. T.I.E washatoka vitabu vipya na Pluto Haina sofa ya kuwa sayari.
 
Back
Top Bottom