NDIO kawaida tu wala SIO tatizohospital nimeenda wakasema ni kawaida tu
Anababuka ngozi SIO kuchunika km ulipata kidonda au lengelenge maji yakatoka inabakia Ile ngozi ukiibanduaNadhani kuna shida ya namna unaelezea tatizo. Kuchunika ngozi ni neno zito ujue. Huwezi kusema ngozi inachunik then useme ukiibandua.
Nadhani kuna sehemu unakosea kwenye kauli zako.