Sera ya DP Gachagua ya kugawana Keki ya Taifa kwa kufuata wingi wa watu kwenye Majimbo yapingwa vikali

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,572
Naibu Rais wa Kenya Bwana Gachagua amekosolewa Vikali Kwa kuanzisha na kirahisi kuipigia chapuo sera ya ubaguzi wa kiuchumi aliyooiita Kwa jina la One Man,One Vote,One Shiling.

Wabunge kutoka maeneo yenye idadi ndogo ya watu wamemlaumu bwana Gachagua Kwa kusema hapaswi kushadidia sera itakayonyima maendeleo Baadhi ya maeneo kisa tuu yana watu wachache.

====
Tana River Senator Danson Mungatana on Wednesday questioned the motive behind Deputy President Rigathi Gachagua's pronouncement where the second in command declared that he will lead the One Man, One Shilling Campaign.

Speaking during an interview with TV47, Mungatana poked holes into the pronouncement and went to the extent of questioning whether Gachagua is keen on succeeding his boss President William Ruto.

The senator criticised the move, claiming that some regions will get the shorter end of the stick with regard to the distribution of resources and development.

He added that this would prove detrimental to his presidential ambitions in the future if he rubs other regions the wrong way.

"He is a firm believer of one man one vote one shilling. I'm also a firm believer in one man one vote one square kilometre, so we differ. I want to tell the DP and his advisors that unless he thinks that Lamu, Tana River, Garissa, Isiolo, Turkana, Taita Taveta, and Marsabit counties are unimportant," Mungatana remarked.

"If he intends to be President, he is heading in the wrong direction and needs to be told in no uncertain terms that all of us listening to him are very disappointed with him."

Additionally, the senator reaffirmed that the pronouncement was not an official position under the United Democratic Alliance (UDA) party but represented Gachagua's personal views.

"He needs to be forgiven because he was in an area where he needed to get the claps but I want to tell you that it is not the UDA position. We have never sat as the UDA party to pass a policy pronounced by the DP," the politician added.

"When you're making such statements, at least call a PG meeting and say that this is the proposal so that you hear other opinions, but if you go public, I will also go public and say you're wrong."

The remarks also elicited criticism from Public Service CS Moses Kuria who argued that Mt Kenya was well represented in the Kenya Kwanza government.

This past Sunday, Gachagua cited neglect within the Mt Kenya region and vowed to support the policy to allocate more resources to the region he hails from.

====

My Take
Ikumbukwe sera hizi za Majimbo ndizi hata Chadema wanaozunguka huko kwenye mikutano Yao na kuhubiri.

Inashangaza Kenya yenyewe ilikataa sera za Majimbo ila Chadema wanataka zijue Ili Taifa ligawanyike na watu waanze Kugombea fito kisha kufarakana Kwa misingi ya Majimbo/Kanda Zenye mlengi wa kikabila.

Kama tuu ndani ya Kanda zao wanagombana na wako chama Kimoja Je watakapokuwa qanatokea Kanda tofauti Zenye mlengi wa kikabila watabaki salama? Tanzania itabaki salama?

Watanzania wanatakiwa kuwa makini na Chadema Kwa sababu inahubiri sera za ukabila,Majimbo/Kanda na Kwa kuchochea chuki kwenye jamii.

Nawakumbusha tuu Mwl.Nyerere alionya Vyama Vya aina hii.
 
CHADEMA inatakiwa ipingwe na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wenye dhamira njema na Taifa letu.kwa sababu sera zao zinahatarisha umoja na mshikamano wa Taifa letu na badala yake zinaleta hisia za ukabila na ukanda na hivyo kuligawa na kulipasua Taifa letu vipande vipande. Ni lazima CHADEMA inyimwe kura kama ishara na salamu kuwa sera zake za kibaguzi hazikubaliki hapa Nchini.
 
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1790704920405979324?t=00r3VfBlEyrO9slkd7veKg&s=19
 
CHADEMA inatakiwa ipingwe na kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wenye dhamira njema na Taifa letu.kwa sababu sera zao zinahatarisha umoja na mshikamano wa Taifa letu na badala yake zinaleta hisia za ukabila na ukanda na hivyo kuligawa na kulipasua Taifa letu vipande vipande. Ni lazima CHADEMA inyimwe kura kama ishara na salamu kuwa sera zake za kibaguzi hazikubaliki hapa Nchini.
Chadema tunachukua nchi mwakani
GNSKIItXIAAbmXw.jpeg
 
Back
Top Bottom