Heparin
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 156
- 577
Watu saba wamefariki na wengine sita kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la abiria aina ya Noah lililokuwa likitokea Dumila kuelekea Morogoro mjini na lori la mizigo lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Dodoma.
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa lori kushindwa kulimudu gari lake na kuligonga gari la abiria.
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa lori kushindwa kulimudu gari lake na kuligonga gari la abiria.