Ruto ni bora kuliko Raila

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,546
34,435
Siyo mkenya wala sizisijui sana Siasa za Kenya.

Lakini Leo wakati namsikiliza Rais William Ruto akizungumzia mfuko wa Jimbo (CDF) nimepata hisia kwamba yeye ni bora zaidi kuliko labda Raila Odinga kama angekuwa Rais.

Uwezo wake wa kusema ukweli mbele ya wabunge nimeupenda sana.

Anajieleza vizuri na anaweka mkazo panapostahili.
 
Back
Top Bottom