Rais wa Nchi ya Watu wa Zanzibar yupo kikazi Jijini Arusha

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
19,100
31,791
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.

Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa.

Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo zimesababishwa na ugeni wa kiongozi huyu mashuhuri wa nchi ya Zanzibar.

Kama ilivyo kawaida kiongozi mkuu uongozwa na kimulimuli cha rangi ya njano.Kimulimuli cha rangi ya blue kinamhusu Majaliwa na naibu waziri mkuu na viongozi wengine wapendao vimulimuli.

Karibu Tanganyika,karibu Arusha.
 
Hata Somaliland Kuna Rais,Taiwan Kuna Rais,HongKong yupo,Visiwa vya Shirikisho la Uingereza Wana Mawaziri wakuui nk .Je umewahi ona Bendera au uwakilishi wa hizo unaita Nchi kwenye Jumuiya za Kimataifa?

Jibu ni kwamba Urais wao hauna tofauti na kina Karia wa TFF.
 
Hong Kong kuna C.E.O.....
and
Hakuna shirikisho la Uiengereza,,,
England = Uingireza
Great Britain = uningreza + Wales + Uskochi
United Kingdom =Umoja wa kifalme ,nchi ni
United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland
 
Na kwakuwa Rais wa JMT ni Mzanzibar Watanganyika mtanyooshwa na haki zote za Wazanzibar watazipata awamu hii.
 
Kumbe,Walikuwa na kiti ila sasa hawana...
Kazia hapo kwamba sasa hawana kiti.
Kiti chao ndio kinachotumiwa na Tanzania
1670696332403.jpg
 
Hong Kong kuna C.E.O.....
and
Hakuna shirikisho la Uiengereza,,,
England = Uingireza
Great Britain = uningreza + Wales + Uskochi
United Kingdom =Umoja wa kifalme ,nchi ni
United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland
Kote huko Kuna PM tofauti na WA Britain
 
Kiti chao ndio kinachotumiwa na TanzaniaView attachment 2992517
Mkuu,
Ndiyo mnavhodanganyana kijiweni...
U.N iliiweka Tanganyika chini ya Uangarizi ya Falme ya Britain baada ya vita vya pili vya dunia...
  • 9/12/1961 Tanganyika akawa huru
  • 14/12/1961 Tanganyika akagewa kiti U.N
  • Zanzibar iliapata uhuru 1963 na akapewa kiti UN
  • 1964 Mapinduzi Zanzibar
  • 1964 Zanzibar na Tanganyika zikaungana na kupata kiti Kimoja tu
 
Back
Top Bottom