Rais Samia unapotoshwa na Mbowe na genge lake akishirikiana na Mafisadi wa CCM.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,171
4,582
Kwa nini huambiwi ukweli kuwa unamwaga pesa nyingi ili kuwakwamua Watanzania kwenye umasikini. Lakini zinafafunwa huku watu wako wa CCM wanaona na Mbowe yupo kimya.

Natolea mfano tu mdogo.Haya madudu ga CAG anayokuambia kila siku unadhani Mbowe na Mafisadi wa CCM hawaoni?

Kuna kipindi ulitukana hadharani... Stupid stupid stupedee.

Kuna wanaCCM hawakutakii mema.

Mbowe sio mpinzani mwema
 
Kuna kaupepo acha tuone, yale matusi ya mdada wa marekani ghafla tu kwa mama na haya mashambulizi yanayoendelea sasa,, kuna kambi ndani ya CCM ipo pamoja na CHADEMA........,kuna kipindi baada ya JPM kuondoka hawa walikua wamoja isije ikawa kwa sasa wanapiga tu changa la macho baada ya kuona hesabu haziendi sawa
 
Back
Top Bottom