Kwa hiki kinachoendelea pole sana watumishi wa umma, haiwezekani mtumishi no. 1 akashindwa kufika kwenye siku ya WafanyaKazi ambayo yeye ni mwenyekiti na ni mwajiri wa watumisho yote. Halafu Cha ajabu wawakilishi wake wanatoa majibu mepesi kwenye maswali yanayohitaji majibu sahihi.
Mbona Mh. Rais wa Tanzania visiwani Kaweka wazi kwamba ni kiasi gani ataongeza, halafu huku Bara watumishi wanapewa majibu mepesi yaani danganya toto eti tukitangaza kuongeza mshahara Bei za vitu zitapanda ju😂😂
Kuthibiti mfumuko wa Bei ni Moja wapo ya Kazi ya viongozi walioko Madarakani. Kwenye hili serikali haiwatendei haki watumishi wake hata kidogo.
Madhara ya kutojali maslai ya watumisho:
1. Utendaji Kazi kupungua (watumisho kufanya Kazi chini ya kiwango)
2. Kuongezeka Kwa rushwa.
3. Maendeleo duni Kwa taifa na mtu mmoja mmoja.
4. Watu kukosa uzalendo Kwa taifa lao.