Nina harisha damu yenye matone kama kamasi

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
13,547
28,544
Shida ilinianzia jana jioni nikatanguliza choo cha kawaida baadae ikaanza choo chenye makamasi yenye damu shida Itakuwa Nini au ndio Dalili za kuvuta hizi wiki hii nimekuwa nikisumbuliwa sana na tumbo pia Nina vidonda vya tumbo ila sio chronic jana na Leo ninateseka sana soon nakufa 😭😭
 
Shida ilinianzia jana jioni nikatanguliza choo cha kawaida baadae ikaanza choo chenye makamasi yenye damu shida Itakuwa Nini au ndio Dalili za kuvuta hizi wiki hii nimekuwa nikisumbuliwa sana na tumbo pia Nina vidonda vya tumbo ila sio chronic jana na Leo ninateseka sana soon nakufa
Unapata na shida gani nyengine kabla ya hapo ?
 
Shida ilinianzia jana jioni nikatanguliza choo cha kawaida baadae ikaanza choo chenye makamasi yenye damu shida Itakuwa Nini au ndio Dalili za kuvuta hizi wiki hii nimekuwa nikisumbuliwa sana na tumbo pia Nina vidonda vya tumbo ila sio chronic jana na Leo ninateseka sana soon nakufa 😭😭
Tangulia mkuu.
Chumvi umeila si haba.
Usisahau tu kuacha mirathi.
Buriani kamanda!.
 
Shida ilinianzia jana jioni nikatanguliza choo cha kawaida baadae ikaanza choo chenye makamasi yenye damu shida Itakuwa Nini au ndio Dalili za kuvuta hizi wiki hii nimekuwa nikisumbuliwa sana na tumbo pia Nina vidonda vya tumbo ila sio chronic jana na Leo ninateseka sana soon nakufa 😭😭
Pole sana ndugu yangu. Tafadhali huu muda unaoutumia hapa nenda hospitali, ukija tena hapa uwe ni umetoka hospitali tayari.

Usiogope wala kukata tamaa, ugonjwa ni suala la kawaida ila ukifanya uzembe ndio hatari.
 
Shida ilinianzia jana jioni nikatanguliza choo cha kawaida baadae ikaanza choo chenye makamasi yenye damu shida Itakuwa Nini au ndio Dalili za kuvuta hizi wiki hii nimekuwa nikisumbuliwa sana na tumbo pia Nina vidonda vya tumbo ila sio chronic jana na Leo ninateseka sana soon nakufa 😭😭
Bora uwahi hospital man isije kuwa vidonda vimetibuka
 
Ugonjwa wa kuhara (uliojulikana kama kuhara damu au kuharisha damu ) ni maradhi yanayotokana na machafuko ya ini ......( Kwa mujibu wa Wikipedia)

Huenda pia ikawa ni dalili ya vidonda vya tumbo vilivyo kwenye stage ya juu ( Kwa mujibu wa Dokta Mwaka)

Nashauri uwahi hospitali Kwa vipimo zaidi

Binafsi nakuombea upate nafuu haraka 🙏🙏🙏🙏
 
Asante sana babu ukiona nimepotea jukwaani ujue nimevuta 😭😭😭😭
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom