Nimeshindwa kupata mawasiliano sababu ya block

Scottz

JF-Expert Member
Nov 13, 2023
262
396
Wakuu habari, naombeni msaada wenu,

Iko hivi kuna manzi niko nae, ex wake alichukua simu ya manzi wangu na kuni block kwenye calls za kawaida.

Yaani nikipiga au manzi akicheki simu zinakuwa zinakata tu, sms tukitumiana zinakuwa derivered ila kila mmoja hazion za mwenzie, nahisi pia nikituma sms lazima zipitie kwa huyo mshikaji.

Ukija social media, facebook, Whaatsap kote huku nime blokiwa, ila whaatsap nikituma sms zina onyesha tiki mbili ila kule mwenzangu hazioni, wakuu mwenye maarifa na hii kitu ilionikuta naomba anisaidie, manzi yeye pia kashindwa kutoa , inakuwa kuwasiliana mpaka tuchukue line nyingine ndio tunawasiliana.
 
Soma hyo hapo zitasomeka hukonkwenye blocked sms.
 

Attachments

  • Screenshot_20240516_200712_Messages~3.jpg
    Screenshot_20240516_200712_Messages~3.jpg
    51.4 KB · Views: 6
Kama jamaa ake kashtukia akapiga block kimyakimya ina maana ana mahaba nae hataki kukorofishana nae. Anataka uachane nae.

Kama ni mjanja sms zako zote anazisoma akichukua sms ya huyo mpenzi wake ambaye kwako ni x wako. Kama atataka kukukamata na kusikiliza maongezi yenu atachukua simu ya mpenzi yake atadivert mawasiliano yake.

Sio block. Na kama atataka kujua yuko wapi atachukua hyohyo simu ya mpenzi wake atadownload app ya kutrack.
 
Back
Top Bottom