Chawa wa lumumbashi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 789
- 1,750
Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya kusini pale akijiuza na nilimchana akanirlewa sana
Mwanzoni alionekana kubadilika sana hakutaka kusikia kitu kinachoitwa kunisaliti kabisa aisee demu anayajua sana aisee ndiyo maana sitaki kumuacha hata kwa dawa.maana amenikamata sana yaani kiuno feni aisee sio poa kabisa wakuu
Sasa jana nimemfuma akiliwa uroda na mshikaji mwingine tena nyumbanj kwangu daaah😧😧😧😧 daaah ila.jamaa akaniambia hajamla bali walikuwa wanaoga tu ila sasa kinachonishangaza kwanini wote walikuwa uchi? Jamaa nikamruhusu atoke na mke wangu akaniomba msamaha na nikamuomba msamaha tunaendelea na mapenzi yetu