Ezmet
Member
- Sep 21, 2022
- 57
- 234
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya hili kisa nilishindwa kumlipia kodi mwezi uliopita kupitia hali yangu mbaya kazini.
Niliamua tu kumchunguza baada ya kuona dharau zimezidi kumbe nachapiwa huko nje. Nimeamua kumuacha rasmi bila kumuuliza kitu maisha mengine yaendelee yani kisa tu mwanangu una forester ukapita na pisi yangu fresh.
Asanteni sana