GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,505
Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.