Lomaa lolusa
Member
- May 15, 2017
- 21
- 9
Jambo gani naweza kufanya niweze kulinda shamba langu lisivamiwe na watu nikiwa mbali
3. Ndiyo nimekuelewa. Nikajua mganga na nabii kwa pamoja1-Tafuta mganga wa jadi mahiri alizindike.
2-Omba halmashauri wakupimie kitaalamu na upate hati.
3-Muite nabii aliombee.
Chagua jibu sahihi.
Sawasawa.3. Ndiyo nimekuelewa. Nikajua mganga na nabii kwa pamoja
Fafanua hapa mkuu. Hao waganga WA kuzindika tunawapata wapisindika hapo kiasili kwanza kwenye mipaka yote, kisha ndio ufuate taratibu za kisheria na za kawaida kama kuweka walinzi
Haha wazo Bomba hiliTafuta tofal kama 30 mchanga na cment tafuta na fund ajenge stail kama ya kabur ela ya ufund haizid 50 malzia na chuma kilchokaa kama msalaba mwagilizia cku 5 kisha nenda katafute maisha upate hela ya kujenga sasa, apo utakua umetumia laki kulinda shamba lako kwa miaka 10 ya kujitafuta
unasindika tu mwenyewe mkuu sio lazima waganga. Unchukua tu zile mazaga unazindikaFafanua hapa mkuu. Hao waganga WA kuzindika tunawapata wapi