Natafuta rafiki wa kiume(mwenza)

mimimnyenyekevu

JF-Expert Member
Apr 19, 2023
712
972
Wasalaam ndugu zangu.
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo:

Umri: miaka 40 na kuendelea
Dini:mkristu
Mwenye upendo wa kwelie so na pia awe ni muhitaji kweli wa kuishi na mke.
Akiwa single baba itapendeza
Awe pia alishapitia changamoto za mahusiano na kujifunza kupitia changamoto hizo.
Awe mkweli na muwazi ,awe pia mpenda maendeleo.

Sifa zangu:

Umri: between 30 -37
Mkristu.
Kazi: Entrepreneur
Ninapenda maendeleo pia,lakini naanini sana katika upendo wa kweli ambapo ndipo mazuri yote huzaliwa humo.
Kwa hiyo dhima kuu ya bandiko hili ni kuhitaji mwanaume mwenye upendo wa kweli .

Hivyo kwa atakayekuwa tayari tuwasiliane pm.
Asanteni nyote.
 
20240502_200642.jpg
 
Kipengere muhimu unakivuka, una watoto wangapi na baba watoto ni marehemu au bado iko hai?........jibu hayo tu umepata mme wa vigezo vyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom