johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,660
- 145,432
Kimsingi Wabunge wa Viti maalum kazi yao kubwa ni kupiga makofi na kutoa sauti kubwa ya " NDIO" wakati wa kupitisha vifungu na kazi hii inaweza kufanywa kwa Ufanisi na Robot kwa sababu atakuwepo bungeni muda wote
Pili badala ya kualika CHAWA bungeni ambao Spika hutumia muda mwingi wa Walipakodi kuwatambulisha na kuwasifia basi awe anaalikwa Robot mmoja mmoja kwa niaba ya CHAWA wote wa Lumumba na Vyama vya Upinzani
Nawatakieni Sabato Njema😂