Mwanamke unapata wapi ujasiri wa kutangaza kuwa mume wako amefilisikaa?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,768
16,572
Sasa ule msemo wa kusema kuwa ukitaka kujuwa tabia za mkeo Basi filisika


Nina ex wangu aliolewa Basi maisha yaka endelee ila majuz nikaona anaanza San kuwa busy na mm Kisha nikamuuliza mbna siku hz uko close San na mm au Mr kasafiri nn

Ndipo akanipigia Simu mda ule ule na kuanza kunipa story kuwa sasa Hivi Yuko nyumbani kwao mwanaume amemfukuza
Eti kiss mwanaume amesikia kwa watu kuwa yeye mwanamke anatangaza kwa watu na majirani kuwa jamaa amefilisikaa Hana pesa na amekuwa Malaya sna

Jamaa akakasirika akamrudisha kwao na Wala hajamfta had sasa hvi

Mwisho akasema Ana upwiruu snaaa
 
Back
Top Bottom