Mwana JF ambae huzijui hizi threads mbingu ni yako

Mbona hiyo ya mibebez imetaradadi sana, hadi imefika 1440 huko.......JF full mabaharia.
 
Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.

(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?

(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Dah hizi ni common,
 
Uzi tayari by JF Expert Member. Bora DPW Apewe bandari zote tu.
 
Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.

(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

(2)Uzi wa wazee wa kula tunda kimasihara
Ulishawahi kula tunda kimasihara?

(3)Uzi wa kupeana like bila khiyana, bila shaka ni uzi pendwa wa mzee Extrovert
Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Sasa hapa uzi wa kupeana likes una shida gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom