Mussa Banzi na sultan Tamba

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,392
Hawa Jamaa Sijui siku izi wako wapi , ni waongozaji na watunzi wa movie za kibongo, nakumbuka zamani walikuwa moto wa kuotea mbali kwenye filamu za kibongo, sio siri Jamaa walikuwa wananikosha sana na movie zao , walikuwa wanajua vizuri kucheza na soundtrack pamoja na hisia, hasa kwenye movies za kutisha , izi ndo baadhi ya movies ambazo nazikumbuka hadi Leo kutoka kwa Jamaa, hakika Jamaa wanaweza sana na movies zao zinasisimua sana.
MUSSA BANZI
-Shumileta
-nsyuka
-karibu paradiso
-chite ukae
-Dont say Goodbye veronica
-Sikio la kufa
-mahabati
-odama
-beyonce
-The Game of love
-Zogo (kisiwa cha mauti)
-My Darling
- Fungu la kukosa
-Tabana

SULTANI TAMBA
-kazibure village
-Mzee wa busara
-Shetani wa mahaba
-Jinamizi
-Kimya
 
mussa banzi aliharibu mambo baada yakuanza kuigiza kama leading star kwenye movie zake, wakati hajui kuigiza... wakali wenye mvuto na ujuzi wakuigiza leading roles akawa anawabania, hence kushuka kwako kwenye soko.
ryt now yupo yupo anafaidi mauzo ya movie zake za zamani huko africa magic na zuku.. but coming back with a hit??? sijui
 
Yap mkuu hata Mimi nilimuona kwenye movies kadhaa, wengi hawakupenda uigizaji wake , japokuwa ni muongozaji na mtunzi mzuri sana kwangu Mimi, Jamaa anajua na ni bonge la mbunifu alinifuraisha sana kwenye movie ya VERONICA
 
Tamba ni mtunzi mzuri sana wa hadithi ...kama hadithi zake zingepata waongozaji wazuri na kuwekwa kwenye sinema nafikiri zingekuwa nzuri sana...huyo Banzi pia sio mbaya ana sinema flani za asili asili (sijui ndie mwenyewe au namchanganya)...ila technolojia yetu ipo chini sana kiasi kwamba hadithi nzuri zinashindwa kuwekwa kwenye sinema na kueleweka.
 
yah.. ni director na mtunzi mzuri sana. lakini hajui kuigiza.. hata vijana wake kina Tafu wamechoka vibaya sana. Odama ndo kaweza kusimama..
 
Kweli Mussa Banzi alikuwa mtunzi mzuri na hata michezo ya Kaole enzi zile ITV alikuwa anawatungia akishirikianana Chrisant Mhenga mf igizo la Radi.
Ila baada ya kuanza kujipa promo mwenyewe ihali hajui kaharibu kila kitu bora tu arudi fani yakeileile maana story zake zilikuwa nzuri.

Binamu umenikumbusha hizo movie karibu robo tatu ya ulizotaja home zipo hapa Tena ni za VHS lol! Nikiziangaliaga nacheka sana.
 
Tamba ni mtunzi mzuri sana wa hadithi ...kama hadithi zake zingepata waongozaji wazuri na kuwekwa kwenye sinema nafikiri zingekuwa nzuri sana...huyo Banzi pia sio mbaya ana sinema flani za asili asili (sijui ndie mwenyewe au namchanganya)...ila technolojia yetu ipo chini sana kiasi kwamba hadithi nzuri zinashindwa kuwekwa kwenye sinema na kueleweka.

Ni huyo hyo na filamu za asili zilizompa umaarufu ni ODAMA na BEYONCE sio siri zile movie Jamaa alitunga na kuongoza ipasavyo though mapungufu madogo madog yapo ila namkubal sana jamaa na movie zake nyingi zinamlenga mwananchi wa kawaida kabisa na zinafanya vizur sokoni
 
Kweli Mussa Banzi alikuwa mtunzi mzuri na hata michezo ya Kaole enzi zile ITV alikuwa anawatungia akishirikianana Chrisant Mhenga mf igizo la Radi.
Ila baada ya kuanza kujipa promo mwenyewe ihali hajui kaharibu kila kitu bora tu arudi fani yakeileile maana story zake zilikuwa nzuri.

Binamu umenikumbusha hizo movie karibu robo tatu ya ulizotaja home zipo hapa Tena ni za VHS lol! Nikiziangaliaga nacheka sana.

Yes binamu kumbe unamjua aliwahi kushiriki pia kwenye utunzi kaole miaka hyoo, Jamaa anajua sana ila kuigiza ki ukweli akaoge, napenda sana movie yake ya SIKIO LA KUFA na FUNGU LA KUKOSA dah Jamaa anajua nilimkubali zaidi kwenye VERONICA aliyocheza odama dah ni noma sana , halaf kuna wale wazee anapenda kuwatumia Sijui mzee msisiri na yule bi chonde , dah couple yao ya ukweli sana
 
Teh teh umenikumbusha gwiji lao bi Chonde yule mmama ana act utadhani ni kweli sio maigizo.
 
Yah yuko poa sana, anaigiza vizur cha ajabu ma producer hawamchukuagi yaani movie za mussa banz tu ndo yupo sana, huyu Odama nae cjui kwa nn hawap shavu hawa wazee maana ndo walikuwa wanaigizag kama wazazi wake na walikuwa wanapatia hatari, siku izi cjui yuko wapi , ila msisiri namuona kwenye movies nyingi tu
 
Yeah kweli bibi chonde simuonagi kwenye movies nyingine
 
Sultani Tamba ni bonge moja la mtunzi namkubali hasa katika ile kazi ya kwanza kabisa iliyoleta mapinduzi ya filamu Tanzania (GIRLFRIEND) alifanya poa sana. Kwa upande wa Mussa Banzi siwezi kuwa mnafiki katika suala la uigizaji watu wake hawakuwa vizuri kihivyo. Muigizaji anapaswa avae uhusika katika hali itakayo mfanya mtazamaji ahisi anatazama kitu halisi na sio maigizo, hili halikuwepo katika movie nyingi za Mussa Banzi. Waigizaji wake wengi walikuwa wana-over act, siwezi kuangalia zaidi ya nusu saa movie za huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom