Mtoto nje ya ndoa ana haki ya urithi?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,302
Wadau wa Masuala ya Mirathi naomba ufafanuzi juu ya hili. Je, Sheria inasemaje juu ya Mtoto aliyepatikana NJE ya NDOA je ana HAKI ya Kurithi MALI zilichochumwa na WANANDOA hao?
 
Swali linatoka kwa nani??

As long as ni mtoto wako, awe wa nje ya ndoa, ndani ya ndoa, pembeni ya ndoa, ana haki sawa sawa na watoto wengine.

Unless kama kuna mambo mengine binafsi yasiyojulikana lakini naombeni mumpe na yeye kiasi kidogo mzazi wake alichotafuta. Hakuomba azaliwe nje ya ndoa, ni starehe za wazazi wake.
 
what does the law say?
 
Hoja ni sheria mkuu sio hisani Je inasemaje??
 
Swali linatoka kwa nani??

As long as ni mtoto wako, awe wa nje ya ndoa, ndani ya ndoa, pembeni ya ndoa, ana haki sawa sawa na watoto wengine.

Unless kama kuna mambo mengine binafsi yasiyojulikana lakini naombeni mumpe na yeye kiasi kidogo mzazi wake alichotafuta. Hakuomba azaliwe nje ya ndoa, ni starehe za wazazi wake.
Kuna mila na tamaduni zetu za kiafrika ambazo zinaheshimiwa na sheria za taifa. Mambo ya ndoa na mirathi, kila kabila wana mila zao. Sasa, ukitaka kutawaliwa na sheria za serikali, unaenda kortini. Korti itafanya maamuzi. Lau, utafuata mila za kwenu basi mutagawanya urithi kulingana na mila zenu. Suala la ndoa, hilo linaendana na dini. Wakristo wala yao na waislamu wana yao. kwa waislamu, ndio dini ya mwanzo kueleza namna ya kugawa urithi. Ukristo hauermi bali wanafuata "common law". Ndoa za kiislamu ni tafauti sana na ndoa nyengine. Muislamu kuzini ni katika madhambi makubwa . Kwa hiyo ukizini na ikatokea kupatikana mtoto, huyo sio mtoto wako ila una wajibika kumuangalia na kama una mali unaruhusiwa kumpa sehemu. Isipokuwa, wakati ukifa, hawezi kudai mali ya baba. Anaweza kurithi kwa mama. kama unaona hupendi hivo, basi bahati mbaya, sheria ya dini ya kiislamu haibadiliki.
 
Back
Top Bottom