Mtag shabiki wa Simba na umtakie pole kwa kumaliza msimu bila taji lolote

Huwezi amini Mimi si shabiki wa 'Mnyama'...!! Siku ile nilikuwa nawa support sababu sikutaka wafungwe na waarabu, lakini kubwa zaidi nilikuwa nam support bae (baba Mwamposa)..!!


Hakuna kitu
Wewe, bae na mnyama wenu wote mnatakiwa mpewe pole
Usiku halali mnashabikia kasimba kama hako
IMG_0226.jpg
 
Huyu ndugu yako Carleen umesingizia, huyo ni utopolo mwenzio pure kabisa.

Hii pole najua ni ya kinafiki, bado najiuliza niipokee au niikatae😂.
Akhuuuu sie kama utopolo hatumtambui
Hana damu ya Yanga kabisa

😂😂😂😂ikate ikubali jua Simba hamna kazi ingine hapa mjini zaidi ya kuzurura tu kama wadudu
 
Back
Top Bottom