cuchi
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 218
- 74
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa feminine! Sasa wadau nisaidienien ipi nzuri ambayo haina madhara yoyote!