Mpenzi wako akikukosea jitahidi usiwe wa kwanza kumtafuta ili kulinda heshima yako

Zero Competition

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
310
451
Wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi suala la kugombana ni kitu cha kawaida na mkiona mna zaidi ta miaka miwili au mitatu hamjawahi hata kugombana basi ujue kuna tatizo katika mahusiano yenu.

Inawezekana kwakua unampenda sana mwenzako inafikia wakati hata mkigombana kwa kosa alilosababisha yeye basi wewe uliekosewa utajishusha ili tu kunusuru mahusiano yenu na hii hutokea pale ambapo mpenzi wako kashajua kwamba unampenda sana na hata akukosee vipi lazima wewe ndo utaanza kujishusha.

Hata kama amekariri lakini jitahidi usiwe mtu wa kutabirika, hesabu makosa yake kimyakimya ili siku akizingua unamkatia mawasiliano kimyakimya labda aje mwenyewe kuomba msamhaha.Fanya hivi wakati umeshamuonya vyakutosha ili asije akakuona mbaya kwa maamuzi utakayokwenda kuyachukua.

Binafsi hata kama mtu nimempenda vipi na kakariri kwamba siwezi kumuacha kuna siku lazima nitamuonyeaha action ambayo hakutegemea, wakati anajua nitajirudi anakuja kushangaa nimeshaondoka mazima kwenye maisha yake na akijirudisha nakua sina tena mapenzi nae kama ilivyokua awali.

Usikubali mwanadamu mwenzio ambae mmekutana ukubwani akudharau na kukupelekesha sababu tu ya mapenzi.
 
Kamwe usimpe mtu uwezo wa kuamua furaha yako.

Kwenye mahusiano ni lazima mmoja akubali kuwa mjinga(shift kati ya wawili) ili mahusiano yaendelee kuwepo.
 
Sasa hata ukimuacha kimya kimya au kwa matarumbeta who cares?? 🤣🤣🤣🤣

Unakuta naye alishakuchoka ni basi alikuwa anajikaza tyuuu!!! Ss hivi hakunaga karma, km unaondoka nenda..!!!! 😂😂😂
 
Wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi suala la kugombana ni kitu cha kawaida na mkiona mna zaidi ta miaka miwili au mitatu hamjawahi hata kugombana basi ujue kuna tatizo katika mahusiano yenu.

Inawezekana kwakua unampenda sana mwenzako inafikia wakati hata mkigombana kwa kosa alilosababisha yeye basi wewe uliekosewa utajishusha ili tu kunusuru mahusiano yenu na hii hutokea pale ambapo mpenzi wako kashajua kwamba unampenda sana na hata akukosee vipi lazima wewe ndo utaanza kujishusha.

Hata kama amekariri lakini jitahidi usiwe mtu wa kutabirika, hesabu makosa yake kimyakimya ili siku akizingua unamkatia mawasiliano kimyakimya labda aje mwenyewe kuomba msamhaha.Fanya hivi wakati umeshamuonya vyakutosha ili asije akakuona mbaya kwa maamuzi utakayokwenda kuyachukua.

Binafsi hata kama mtu nimempenda vipi na kakariri kwamba siwezi kumuacha kuna siku lazima nitamuonyeaha action ambayo hakutegemea, wakati anajua nitajirudi anakuja kushangaa nimeshaondoka mazima kwenye maisha yake na akijirudisha nakua sina tena mapenzi nae kama ilivyokua awali.

Usikubali mwanadamu mwenzio ambae mmekutana ukubwani akudharau na kukupelekesha sababu tu ya mapenzi.
Hii baada ya kula mzigo sio kabla
 
Back
Top Bottom