Mnavyosema kuwa Mama Samia kakopa sana, oneni hii ripoti ya IMF

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,762
16,525
Mnavyosema mama Samia anakopakopa Basi mnamkozea sna mam huyu leo ripot ya imf shirika la fedha duniani imetoka na kuonesha inch kumi zenye Mikopo mikubwa imf na katk nnchi zote hzo Tanzania ya Samia haipo kwenye horodha ya nch zinazodaiwa na IMF.

Misr imekuwa kinara wa Mikopo kutoka kwa mabeberu

Na nilicho kiona Hapo pia Ni Kwamba nchi zote zenye Mikopo mikubwa imf zot imetuzidi sisi kwa kiuchimi kenya imo ndani kwa kudaiwa trillion 6 na imf
serekali ikope jmn ikope ikiwezeonakope Hadi trillion 50 HV uchumi ukue Sasa jmn

Namkaribisha bwana Lucas mwashamba ajazie nyama 😂😂

IMG_20240517_105513.jpg
 
Mnavyosemq mama Samia anakopakopa Basi mnamkozea sna mam huyu leo ripot ya imf shirika la fedha duniani imetoka na kuonesha inch kumi zenye Mikopo mikubwa imf na katk nnchi zote hzo Tanzania ya Samia haipo kwenye horodha ya nch zinazodaiwa na imf

Misr imekuwa kinara wa Mikopo kutoka kwa mabeberu

Na nilicho kiona Hapo pia Ni Kwamba nchi zote zenye Mikopo mikubwa imf zot imetuzidi sisi kwa kiuchimi kenya imo ndani kwa kudaiwa trillion 6 na imf
serekali ikope jmn ikope ikiwezeonakope Hadi trillion 50 HV uchumi ukue Sasa jmn

Namkaribisha bwana Lucas mwashamba ajazie nyama 😂😂
Kikawaida mwenye mtaji mkubwa hukopeshwa hela nyingi na mwenye mtaji mdogo hukopeshwa kidogo. Usilinganishe nchi yetu na nchi zingine
 
Kuna mtu nimemweleza habari hii amebaki anabubujikwa na machozi ya furaha kubwa sana .na kusema kuwa hata yeye anatambua Uchapakazi wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan na amekuwa akishangaa wale wachache wenye uchu wa madaraka na chuki binafsi hususani kutoka CHADEMA ambao wamekuwa wakimshambulia kwa lugha za matusi na udhalilishaji ili wamkatishe tamaa na kumvunja moyo Rais wetu mpendwa.
 
Yaan wabongo wapuuzi hii habari inakusaidia nini, kingine mikopo yote ya nchi inatoka imf? Unajua samia karuhusu rasilimali ngapi na uwekezaji usio na manufaa kwa kiasi gani? Emb acheni kujifanya hamuoni upuuzi unaoendelea. Msiwe wajinga kupitiliza
 
Nimeshangaa tu hii ni sentensi moja, inasifu, inaabudu na kusujudu. Kweli wewe ni Lukasi.
 
Kuna mtu nimemweleza habari hii amebaki anabubujikwa na machozi ya furaha kubwa sana .na kusema kuwa hata yeye anatambua Uchapakazi wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan na amekuwa akishangaa wale wachache wenye uchu wa madaraka na chuki binafsi hususani kutoka CHADEMA ambao wamekuwa wakimshambulia kwa lugha za matusi na udhalilishaji ili wamkatishe tamaa na kumvunja moyo Rais wetu mpendwa.
Nasikia we ndiye lile robot linaitwa Eunice.
 
unazingua!
 
Usilinganishe alichokopa yeye na ilichokopa nchi nyingine, linganisha muda aliotumia kukopa, kiasi alichokopa na maraisi wengine wa Tanganyika waliopita.
 
Kuna mtu nimemweleza habari hii amebaki anabubujikwa na machozi ya furaha kubwa sana .na kusema kuwa hata yeye anatambua Uchapakazi wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan na amekuwa akishangaa wale wachache wenye uchu wa madaraka na chuki binafsi hususani kutoka CHADEMA ambao wamekuwa wakimshambulia kwa lugha za matusi na udhalilishaji ili wamkatishe tamaa na kumvunja moyo Rais wetu mpendwa.
Hahahahahahha wewe ndio mwashamba bhna
 
Yaan wabongo wapuuzi hii habari inakusaidia nini, kingine mikopo yote ya nchi inatoka imf? Unajua samia karuhusu rasilimali ngapi na uwekezaji usio na manufaa kwa kiasi gani? Emb acheni kujifanya hamuoni upuuzi unaoendelea. Msiwe wajinga kupitiliza
Kweli mkuu upuuz upo Sana ila hatuna Mikopo Kama majirani
 
Ripoti nimewakwekeaa
 
Attachments

  • IMG_20240517_105513.jpg
    IMG_20240517_105513.jpg
    382.6 KB · Views: 2
Misri wanakopa sana ila mikopo yao inaendana na maendeleo
Vipi Tanzania pesa tunazokopa zinaendana na maendeleo? Zaidi zinafikia mifukoni mwa Mafisadi

Hii nchi ina kirusi kibaya kinaitwa Chawa..!
Nabii hakubaliki kwao
 
Hz peas

Hzi pesa wanazoiba mafisadi huwa sinapelekwa wapi mbna hkn ripoti yoyote Kama pesa zinazoibiwa ziko nnje kwenye mabank ya nnje
 
Back
Top Bottom