Mliowahi kuugua Meningitis mtuambie

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
627
1,088
Wakuu,
Kama unashawai kuugua ugonjwa wa meningitis au ndugu yako naomba ushare experience!

Nina hizi dalili sasa kwa muda
1. Kichwa kuwaka moto/kuuma muda wote
2. Joto kali kichwani Fever
3. Kuumwa mgongo
4. Nimetoka rashez mkononi

Je si dalili hizi?
 
Hospitali walinambia nina typhoid nikapewa dawa za wiki zimeisha!!
Hili tatizo jipya limeibuka

Pole Sana Ila jaribu kurudi hosptali tena kwa vipimo zaidi.

Pia punguza hofu maana hofu huwa inaukuza ugonjwa na Kuonekana ni hatari.

Je umri wako
Uzito
Na mtindo wa maisha kijumla vimekaaje?
 
Wakuu,
Kama unashawai kuugua ugonjwa wa meningitis au ndugu yako naomba ushare experience!

Nina hizi dalili sasa kwa muda
1. Kichwa kuwaka moto/kuuma muda wote
2. Joto kali kichwani Fever
3. Kuumwa mgongo
4. Nimetoka rashez mkononi

Je si dalili hizi?
Umetumia lugha ngumu kueleweka ungeandika UTI WA MGONGO ungeeleweka kwa haraka
Fuata ushauri uliopewa fika hospitali upime ujue kama ni ugonjwa huo au mwingine
Maana dalili pekee hazitoshi kung'amua kama ni ugonjwa huo au mwingine
 
Meningitis kwa kiswahili ni nini?
 
Back
Top Bottom