Mchepuko Nimeunulia gari aina ya VX8 baada ya kulichoka kasema hakuna nilichomfanyia

Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu

Mwanamke asie na utu na shukrani
Wewe ndiye wa kumiliki gari achana na kununulia mchepuko. Mwezi ulopita ulitafuta madalali wa kununua kieneo huko Songea. Na nijuavyo huko kunyumba ekari ni Shs 150,000/=. Acha utani

Wewe ndiye wa kumiliki gari achana na kununulia mchepuko. Mwezi ulopita ulitafuta madalali wa kununua kieneo huko Songea. Na nijuavyo huko kunyumba ekari ni Shs 150,000/=. Acha utani

Kazi IPO
😂😂😂
 
Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu

Mwanamke asie na utu na shukrani
Kama ni ya kweli..

Love yourself than anything else na usiwekeze nguvu na furaha yako kwa mtu......
jipe furaha mwenyewe jipende wewe kuliko yeyote kuhusu MWANAMKE huyo assume hukumpa chochote piga Chini kuanza upya sio ujinga sawa... Mimi nikimpaga MTU kitu huwa nakifuta akilini sito kiwaza Wala hata ukini kosea usitegemee ntaki mention Wala kukunyang'anya

Kwa Sasa Ni hayo TU
 
Back
Top Bottom